Ni kweli Diamond Platnumz anatumia unga/madawa ya kulevya?

Wanamuoga mfalme mpya wa bongo flava

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Wapi wamemchoka wanamuona dogo mshamba mfano juzi alipost na kusema kama wewe umesikiliza album yake na hujaielewa basi wewe ni mzee wa miaka 50 umepitwa na wakati, muda wote anajiita yeye ndie msanii namba 1 Tanzania wengine wamepitwa na wakati, hata wasanii wenzake wamemuona kumbe anaota mapembe alafu ndo kwanza safari inaanza
 
Kwa maisha anayoishi diamond swala la kula unga haliepukiki,kwa umri wake na pesa anazopata hatoacha sterehe yoyote impite ktk hii dunia si ajabu siku ukasikia analiwa jicho maana utamaliza kila starehe za urijali halafu kuna nyingine atataka ajaribu zina utamu aje?

TUMUOMBEE KIJANA KWENYE HILI,ILA SWALA LA KUFIRISIKA HALITAKUJA KUTOKEA KIJANA KWENYE UTAFUTAJI NA UWEKEZAJI ANAJIELEWA SANA KWA KIWANGO CHA PHD.
 
Hamonaiz ana shape njia mpya ya muziki wa vijana , anatakiwa kuungwa mkono

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
kuna thread ilikuwa Vita ya mashoga sasa imehamia ya unga Sijui kesho tutaamka na kipi
Nchi iko busy hii, hakutakosekana cha kuamka nacho kwakweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Duuu ndo wamefika hko ssa hv
 
Hapa duniani hakuna kitu kibaya na chenye nuksi kama kumkataa baba yako au Mlezi wako, tena in public, hata uwe bilionea namba moja Africa.

Ila baba kumkataa mtoto sio kubaya?

Kamuulize Jeff Bezos kama anajua hata baba yake mzazi anaishi wapi afu uje tena na hii ngonjera yako.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…