Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,895
- 4,478
- Thread starter
- #121
Kwanza king'amuzi chenyewe unacho?Azam huwa wanaonyesha movies za Hollywood zenye kuonyesha Waislamu magaidi?
Kwanza king'amuzi chenyewe unacho?Azam huwa wanaonyesha movies za Hollywood zenye kuonyesha Waislamu magaidi?
Si tv Yao wenyewe , ukitaka na wewe funguwa tv station yako uonyeshe hata popobawa , hatokuuliza mtuAzam huwa wanaonyesha movies za Hollywood zenye kuonyesha Waislamu magaidi?
Mbona mnamwamini marehemu mudi boy ..bora Yesu aliye hai hata sasa ...
Mwili wa Yesu ndiyo uliokufa na kufufuka siku ya 3 ila nafsi ya Yesu haijawai kufa ..Kumbe unaamini Yesu hakufa yuko Hao , Si utamke shahada tu , unasubiri nini? Au mpaka mauti yakufike ufe kafiri ukachomwe?
Hiyo ni biblia ya lwiva Bible imeandika? Na ni Aya ya ngapi?Mwili wa Yesu ndiyo uliokufa na kufufuka siku ya 3 ila nafsi ya Yesu haijawai kufa ..
Kuna
1)MWILI WA YESU na
2)NAFSI YA YESU.
Yesu ni hai mwili na nafsi
Nenda Msalabani ukasikie maneno ya Yesu mwenyewe .Hiyo ni biblia ya lwiva Bible imeandika? Na ni Aya ya ngapi?
Ndivyo biblia ya lwiva ilivyoandika ??Nenda Msalabani ukasikie maneno ya Yesu mwenyewe .
Israel inajua watoto,inabonda masanamu,inaruhusu ushoga,imeporwa ardhi ya Palestine,raisi wa Israel ana arrest warrant ya ICC,lakini bado wakristo wa Tanzania wapo pamoja na mungu wa ISRAEL,.Hilo lipo.kuna agenda ya siri kuizalilisha ukristo.wakristo wameonekana km watu wachafu wanaabudu miungu na jamii ya watu katili na kafiri km akina ulof na wamongolia.uislamu km jamii ya watu waliostaaribika na wasomi.
Sina ID nyingine mkuu.Mimi nimekuona ukijibadilisha id zaidi ya mara tatu
Sina ID nyingine mkuu.
Nilichojifunza nikuwa wa Tanzania wengi wamesoma na hawajaelimika bado ni wajinga, Elimu haina msaada kabisa 😔😔😔Yani kuna watu wanajua kujidhalilisha🤣 tunaoneka vituko huko kwa wenzetu unajua eeh😅
Kuna makundi yanajazana chuki no matter what hawatokaa wakaelewa tayari wako negative!Sasa wanadhalilishaje ukristu? Ile ni history ya kweli ambayo ilishatokea huko
Nilichojifunza nikuwa wa Tanzania wengi wamesoma na hawajaelimika bado ni wajinga, Elimu haina msaada kabisa 😔😔😔
Tamthilia inaonesha jamii tofauti wakipigana na Waturuki, Wamongoli, waroma na wasio na bendera. Hata waislamu walipigana wao kwa wao, Kusema tamthilia inaonyesha waislamu wakiwapiga wakristo ni upuuzi.Vipi kama hiyo tamthilia ingekuwa na ujumbe wa tofauti, unaoonesha wakristu wakiwapiga waislamu, hao Azam Tv wangeonesha hiyo tamthilia?