Ni kweli filamu ya Ottoman inaoneshwa Azam tv ili kuudhalilisha ukristo?

Ni kweli filamu ya Ottoman inaoneshwa Azam tv ili kuudhalilisha ukristo?

Kumbe ndiyo maana Hakuna wakristo Lebanon, Syria, Iraq, Jordan , Uturuki, kwa vile walilazimishwa kuingia kwenye uislamu au vipi ? Huyo Nabii wako Tito anayekupa mafundisho hayo labda hapati mambo yake kwa waislamu

Unapofanya argument tuliza akili, usiifanye argument yako kama kiburudisho cha riwaya. Huyo Tito ni nani kwako? Ni baba yako? Kama ni ndugu yako, unadhani kila mtu anamfahamu? Na anahusikaje kwenye hoja iliyopo kwenye mjadala? Argue like a sensible person.
 
Usijiwazie wewe, wawazie watoto Wadogo katika Uislamu, na namna vile wanavyopandikiziwa mentality ya Doing for ALLAH, whatever is Fine.
Kuna jambo haliko sawa hakika.
kwanini mtoto mdogo aangalie hizi filamu za kufikirisha?
 
Hili jibu lina ondoa maana nzima ya mada uliyoleta.Fkr a moment nilidhani ume andika ili ku balance taarifa lakini kumbe una upande tayari.Malalamiko kuhusu azam yamekuwepo almost miaka 4 au 5 hivi na wanajua,kwa mara ya kwanza mwaka jana msimu wa krismasi waliweka matangazo ya krismasi hata hili la ottoman lina julikana ni bahati mbaya wateja wa azam wengi ni vichwa maji hawaelewi lakini kwa anae jua la ottoman kuwa na mlengo wa kudhalilisha au kupinga ukristo liko wazi.
Umewahi kusikia Waislamu wakilalamika kuhusu ITv ,TV E ,Clouds Tvau star tv kuonesha kwaya za kikristo kila ya saa kumi na mbili asubuhi hauoni huo ni udini?
 
Hili jibu lina ondoa maana nzima ya mada uliyoleta.Fkr a moment nilidhani ume andika ili ku balance taarifa lakini kumbe una upande tayari.Malalamiko kuhusu azam yamekuwepo almost miaka 4 au 5 hivi na wanajua,kwa mara ya kwanza mwaka jana msimu wa krismasi waliweka matangazo ya krismasi hata hili la ottoman lina julikana ni bahati mbaya wateja wa azam wengi ni vichwa maji hawaelewi lakini kwa anae jua la ottoman kuwa na mlengo wa kudhalilisha au kupinga ukristo liko wazi.
Haujielewi Ottoman ni movie ya kihistoria ya Taifa la uturuki unasema ni kuudhalilisha ukristo?
 
Ni kazi kweli.
Ndo maana me dini nimeachana nayo kitambo kirefu kidogo.
Sababu watu walioshika hizo dini ndo hao hao wanaokuja kuandika haya mambo huku.
Kifupi huyu jamaa kaja kukandia huku, ila kwa njia isiyo ya moja kwa moja. Na inaonyesha huko waliko wako wanajadili kuhusu hili.
Watu wanahubiri kuhusu MUNGU lakini hawatendi matendo ya kimungu.
 
Na movies za kina kanumba na za kinigeria za kuhamasisha ulokole vipi? Movies zinazowa portray Waislam kama magaidi tena kwa uzushi na stereotypes mbaya kabisa vipi?
Hiyo case nyingine ifanyie kazi ww
 
Usijiwazie wewe, wawazie watoto Wadogo katika Uislamu, na namna vile wanavyopandikiziwa mentality ya Doing for ALLAH, whatever is Fine.
Kuna jambo haliko sawa hakika.
Kama watoto wako watakuwa affected kwasababu ya hiyo tamthiliya ya historia ya wa watu wengine basi wewe baba utakuwa mpumbavu na inaonekana wewe ni baba mpumbavu sana
 
Unapofanya argument tuliza akili, usiifanye argument yako kama kiburudisho cha riwaya. Huyo Tito ni nani kwako? Ni baba yako? Kama ni ndugu yako, unadhani kila mtu anamfahamu? Na anahusikaje kwenye hoja iliyopo kwenye mjadala? Argue like a sensible person.
Kumbe ndiyo maana Hakuna wakristo Lebanon, Syria, Iraq, Jordan , Uturuki, kwa vile walilazimishwa kuingia kwenye uislamu au vipi? Unajifanya humjui Nabii wenu Tito?😝😝😝
 
Kumbe ndiyo maana Hakuna wakristo Lebanon, Syria, Iraq, Jordan , Uturuki, kwa vile walilazimishwa kuingia kwenye uislamu au vipi? Unajifanya humjui Nabii wenu Tito?😝😝😝
Sijawai ona unachangia uzi wowote tofauti ukristo na uislam!
 
Kuwa tu na hicho king'amuzi nyunbani utaahira mwingine!
Baba unaejielewa huwezi kuweka king'amuzi cha azamu nyumbani.

Kimefanya wanawake wamekuwa wavivu, muda wote wanakodolea macho kwenye tv ungese mtupu!

Tamthilia nyingi za azamu zimejaa udini tu!
We nawe zezeta, mke anakuwaje mvivu na akiamka anakwenda kwenye kazi niliyompa mimi mwenyewe?
Akirudi jioni asiangalie TV?
Matako yako.
 
Kwahiyo ni historia, and nothing personal? Na kama watafsiri wameipooza kwann sasa tuwalaumu azamu?
Nimetoa clarification. Si mimi nilitoa comments japo kwa kiasi flani, hata hiyo series ni ya kutukuza historia ya kituruki kwa hiyo inasimuliwa kwa lens ya aina moja
 
Kuna muislamu anamuamini mtu anayekunya kama wewe na mimi ?? Hayo mnayo nyinyi wakristo mnayemuabudu mtu anayekunya mwenye picha ya Cesare Borgia, the illegitimate son of Pope Alexander VI,

Nyerere aliipindua serikali halali iliyochaguliwa na wananchi , tena Waziri Mkuu wake ni mpemba wa Ole Muhammed Shamte na akalikamata baraza lake la mawaziri na kuwaweka kwenye jela za Tanganyika kwa miaka 10 bila kuwafikisha mahakamani.
Mbona mnamwamini marehemu mudi boy ..bora Yesu aliye hai hata sasa ...
 
Mdau ametufata inbox na kutoa dukuduku lake kama ifuatavyo:-
"Tamthilia ya Kituruki Ottoman, ambayo inaoneshwa kupitia Az@m Media, imekuwa gumzo kubwa miongoni mwa watazamaji wengi nchini Tanzania.
Licha ya kuvutia kwa hadithi yake ya kihistoria, baadhi ya watu wameanza kuhoji maudhui yake na ujumbe unaopitishwa.

Katika tamthilia hiyo, inaonekana wazi kuwa kuna mapambano kati ya Waislamu wakiongozwa na Othman na Wakristo wanaowakilishwa kama Waroma. Mapigano haya yanaoneshwa kuwa ni kwa ajili ya kusimika dini ya Uislamu, na katika kila pambano, upande wa Waislamu huonekana kushinda.

Wakati wa ushindi, mara nyingi husikika kauli kama “Allahu Akbar,” huku upande unaoshindwa ukiwasilishwa kwa alama za Kikristo kama misalaba na mavazi yenye maandishi ya Roma. Hali hii imeibua tafsiri kwa baadhi ya watazamaji kuwa kuna ujumbe unaolenga kuonyesha ubora wa dini moja dhidi ya nyingine.

Mbali na hilo, kumekuwa na maswali kuhusu tafsiri ya tamthilia mbalimbali zinazooneshwa. Watazamaji wengine wanasema kuwa hata filamu ambazo si za Kiislamu, tafsiri zake huingiza maneno kama “Assalamu Aleikum” au “Allah,” jambo ambalo linaongeza hisia za mwelekeo wa kidini kwenye maudhui yasiyokuwa ya asili hiyo.

Kutokana na hali hii, baadhi ya watu wangu tunajiuliza:

Je, huu ni mkakati wa makusudi wa kuingiza propaganda ya kidini kupitia burudani?

Aidha, hoja nyingine inayojitokeza ni kuhusu uwiano katika nafasi za kazi ndani ya vyombo vya habari, ambapo tunahisi kuna upendeleo wa kidini unaoweza kuonekana au kuhisiwa"
MDAU AKAMALIZA HIVYO

(MAONI YETU SISI KAMA @JAMIIDIARY)

Ni muhimu kutambua kuwa tamthilia kama Ottoman ni kazi ya kihistoria inayotokana na utamaduni na historia ya Uturuki, ambapo Uislamu ulikuwa sehemu kubwa ya dola hiyo. Hivyo, baadhi ya maudhui yanaweza kuwa yanaakisi historia badala ya kudhani ni kampeni ya moja kwa moja ya kidini.

Kuhusu swala la uwiano wa kazi/ajira kwa kigezo cha dini sio swala la kujadili kwa kuwa tunaamini medias wanaajiri watu kutokana na CV au weledi.

USHAURI: Ni jukumu la vyombo vya habari kuhakikisha maudhui yanatolewa kwa uwiano, lakini pia watazamaji wanapaswa kuwa makini katika kutafsiri kile wanachokiona.

Mkuu inabidi uvumilie tu, hii nchi tumeruhusu hii tabia TV au usafiri wa umma na n.k kupendelea dini nyingine waziwazi, na upande mwingine inabidi wawe wapole kwasababu mali haiwahusu.

1. Kwa mfano leo hii, siku ya jumapili kila TV ukigusa ni kwaya tu kutwa mzima, sisi Waislam tunaona sawa tu kwasababu TV ni zao, kuonesha vipindi vyenye maudhui ya kikristo tunavumilia na kuwa wapole kwasababu hakuna sheria waliyovunja.

2. Siku hizi pia kuna hii tabia mpya, ambayo kimsingi inanikera zaidi lakini sina option inabidi niwe mpole tu.

Unapanda BUS kutoka DAR mpaka Arusha ni Kwaya na mapambio tu, atleast issue ya TV unaweza change stations.

Kwahyo ndugu yangu, wewe vumilia, bahati nzuri kwako, unaweza badilisha station na pia unaweza kuacha kununua king”amuzincha Azam na kuanza kutumia DSTV
 
kwanini mtoto mdogo aangalie hizi filamu za kufikirisha?
Sina maana ya watoto wadogo hivyo, nazungumzia wale ambao wako na access hata ya mitandao, wanafinzi, nk yaani TEENS. Ongezea wale wapitiao malezi ya Imani Kali.
 
Unataka kusema na movie za Hollywood zinaudhalilisha Uislamu kwenye scene zao nyingi zinazoonesha wao ni magaidi?!

Furahia mapigano, sio kila kitu uwe na deep thinking mkuu..!
Azam huwa wanaonyesha movies za Hollywood zenye kuonyesha Waislamu magaidi?
 
Back
Top Bottom