Ni kweli filamu ya Ottoman inaoneshwa Azam tv ili kuudhalilisha ukristo?

labda hakuwa (Nyerere ) na jinsi, kuna mambo mengi tu hatuyafahamu lkn nielewavyo zanzibar ni mali ya english monarchy, na aliyejenga Kanisa la Kristo Zanzibar siyo Nyerere peace be upon him bali ni english monarchy hivyo peleka lawama kunakohusika, btw kwa nini sultani wenu alikimbilia uingereza na siyo kwao arabian desert?

Kanisa la Kristo zanzibar ...
View attachment 3575304

Aliyevamia na kuuwa watu zaidi ya elfu kumi kwa siku moja ni Babu yenu Nyerere. Usilete mambo ya muingereza. Alimfumga jela Waziri Mkuu Muhammed Shamte , yeye na Baraza lake la mawaziri katika jela Za Tanganyika. Hawakufungwa Uingereza. Mfalme alikuwa hana serikali. serikali.
 
Nadhan WATU kutokujua historia ya Dunia ndyo wanateseka sana

Hiz dola zilitamba Kila Moja kwa nyakat tofaut

Roman empire

Ottoman empire
Mongolian

Hiz dola tatu zilitamba na kupambana zenyewe kwa zenyewe ili kuitawala Dunia

Sasa kwa vile WATU tumeweka dini mbele tunashindwa kujua historia

Kuna mmoja humu kuna bas Toka kigoma limeandikwa TAKBIR akaanza kuliponda bas kwa mlengi wa dini badala ya huduma zitolewazo kama chombo cha usafir

ELIMU ELIMU elimu
Watu hawafahamu mambo mengi.

Uislam kwa hapo Mashariki ya kati haikuwa imani ya hiari. Baada ya watawala wa Ottoman empire kuupokea uislam, na Ottoman kuwa ndiyo dola yenye nguvu, watu walilazimishwa kuwa waislam kwa kutumia mbinu mbalimbali. Ndiyo maana watu karibia wote waliokuwa chini ya Ottoman, na ambao walikuwa karibu na Uturuki, bila ya kutaka, walilazimika kuwa waislam.

Christians in the Ottoman Empire were forced or pressured to convert to Islam through the devshirme child levy, severe economic taxation, and social humiliation.

Ni kweli kuwa baada ya Roma Empire kuanguka, chini ya Ottoman empire, wakristo walifanywa kuwa dhaifu. Ottoman empire ilikuwa tofauti sana na Roman Empire. Roman empire, hata ilipotangaza kuwa ukristo utakuwa ndiyo dini rasmi ya empire, hakuna aliyelazimishwa kuwa mkristo. Lakini Ottoman empire ilipotangaza uislam kuwa ndiyo dini yake rasmi, watu indirectly walilazimishwa kuwa waislam, kitu ambacho kimerithiwa hata na baadhi ya maitaifa ya mashariki ya kati mpaka leo. Mathalan wewe usipokuwa muislam ulinyimwa ajira nzuri, ulilazimishwa kulipa kodi maalum iliyowekwa maalum kwaajili ya wakristo na wayahudi.
 
Kumbe ndiyo maana Hakuna wakristo Lebanon, Syria, Iraq, Jordan , Uturuki, kwa vile walilazimishwa kuingia kwenye uislamu au vipi ? Huyo Nabii wako Tito anayekupa mafundisho hayo labda hapati mambo yake kwa waislamu
 
Aliyevamia na kuuwa watu zaidi ya elfu kumi kwa siku moja ni Babu yenu Nyerere. Usilete mambo ya muingereza. Alimfumga jela Waziri Mkuu Muhammed Shamte , yeye na Baraza lake la mawaziri katika jela Za Tanganyika. Hawakufungwa Uingereza. Mfalme alikuwa hana serikali. serikali.

kwa hiyo Nyerere ndiye aliyejenga Kanisa la Kristo zanzibar? na kwa nini sultani wenu alikimbilia uingereza hata kufia huko badala ya kwao uarabuni alikotokea? ...
 
Mdau ametufata inbox na kutoa dukuduku lake kama ifuatavyo:-
"Tamthilia ya Kituruki Ottoman, ambayo inaoneshwa kupitia Az@m Media, imekuwa gumzo kubwa miongoni mwa watazamaji wengi nchini Tanzania.
Licha ya kuvutia kwa hadithi yake ya kihistoria, baadhi ya watu wameanza kuhoji maudhui yake na ujumbe unaopitishwa.

Katika tamthilia hiyo, inaonekana wazi kuwa kuna mapambano kati ya Waislamu wakiongozwa na Othman na Wakristo wanaowakilishwa kama Waroma. Mapigano haya yanaoneshwa kuwa ni kwa ajili ya kusimika dini ya Uislamu, na katika kila pambano, upande wa Waislamu huonekana kushinda.

Wakati wa ushindi, mara nyingi husikika kauli kama “Allahu Akbar,” huku upande unaoshindwa ukiwasilishwa kwa alama za Kikristo kama misalaba na mavazi yenye maandishi ya Roma. Hali hii imeibua tafsiri kwa baadhi ya watazamaji kuwa kuna ujumbe unaolenga kuonyesha ubora wa dini moja dhidi ya nyingine.

Mbali na hilo, kumekuwa na maswali kuhusu tafsiri ya tamthilia mbalimbali zinazooneshwa. Watazamaji wengine wanasema kuwa hata filamu ambazo si za Kiislamu, tafsiri zake huingiza maneno kama “Assalamu Aleikum” au “Allah,” jambo ambalo linaongeza hisia za mwelekeo wa kidini kwenye maudhui yasiyokuwa ya asili hiyo.

Kutokana na hali hii, baadhi ya watu wangu tunajiuliza:

Je, huu ni mkakati wa makusudi wa kuingiza propaganda ya kidini kupitia burudani?

Aidha, hoja nyingine inayojitokeza ni kuhusu uwiano katika nafasi za kazi ndani ya vyombo vya habari, ambapo tunahisi kuna upendeleo wa kidini unaoweza kuonekana au kuhisiwa"
MDAU AKAMALIZA HIVYO

(MAONI YETU SISI KAMA @JAMIIDIARY)

Ni muhimu kutambua kuwa tamthilia kama Ottoman ni kazi ya kihistoria inayotokana na utamaduni na historia ya Uturuki, ambapo Uislamu ulikuwa sehemu kubwa ya dola hiyo. Hivyo, baadhi ya maudhui yanaweza kuwa yanaakisi historia badala ya kudhani ni kampeni ya moja kwa moja ya kidini.

Kuhusu swala la uwiano wa kazi/ajira kwa kigezo cha dini sio swala la kujadili kwa kuwa tunaamini medias wanaajiri watu kutokana na CV au weledi.

USHAURI: Ni jukumu la vyombo vya habari kuhakikisha maudhui yanatolewa kwa uwiano, lakini pia watazamaji wanapaswa kuwa makini katika kutafsiri kile wanachokiona.
Ndio nyie wakiristo wa jf mnaosema waislam hawakusoma? Mbona mnalalamikia vitu vidogo? TEC wanasemaje?
 
Hv mkijichangisha changish kanisanikwenu hamuwezi kupata pesa ya kuanzisha tv yenu muweke nanyie maudhui yatakayowafurahisha mpaka umpangie mtu jinsi ya kutumia ela zake afu co lazima uangalie kunachanel nying xana azam tena hadi za dini yako ila umegandia ottoman usiniaminishe naww ni amnazo
 
Kuwa tu na hicho king'amuzi nyunbani utaahira mwingine!
Baba unaejielewa huwezi kuweka king'amuzi cha azamu nyumbani.

Kimefanya wanawake wamekuwa wavivu, muda wote wanakodolea macho kwenye tv ungese mtupu!

Tamthilia nyingi za azamu zimejaa udini tu!
 
Sio mfuatiliaji wa hiyo tamthilia, lakini kama ujumbe unaooneshwa kwenye hiyo tamthilia basi sio mzuri kisaikolojia.

Hao Azam Tv naamini kabisa wansupenda huo ujumbe ndio maana wanaacha uendelee kuoneshwa kwenye television yao.

Vipi kama hiyo tamthilia ingekuwa na ujumbe wa tofauti, unaoonesha wakristu wakiwapiga waislamu, hao Azam Tv wangeonesha hiyo tamthilia?

Naamini wasingeonesha, kwasababu wanajua hawataki kuifanya dini yao ionekane nyonge dhidi ya dini nyingine.

Sasa kama hawataki kuishusha dini yao, kwanini wanaishusha ya wengine? Vipi ikitokea television station nyingine ikaonesha maudhui ya waislamu wakipigwa na wakristu? Najua watakavyo pagawa.

Azam Tv wanafanya huo ujinga kwasababu wanajua yupo mama yao atawalinda, wanajiona wako salama sana mpaka kuingilia hisia za wengine, na kutojali maumivu wanayowasababishia kisaikolojia.

TCRA wako wapi? Hawauoni huo ujinga wa Azam Tv, au nao ndio wanaogopa kuwashughulikia kwasababu nao wanamuogopa "mama yao" Azam Tv?

Kama wahusika wameamua kulifumbia macho hilo suala, bado uamuzi wa mwisho upo kwa watumiaji wa Azam, waachane na kununua vin'gamuzi vya Azam, watafute wengine wanaojali hisia za watumiaji wa vin'gamuzi vyao.
Upuuzi mtupu. Usiangalie tu.
Ya nini kujikera kisa tamthilia.
 
Nadhani Ottoman inaonesha historia ya kuisimika dola ya ottoman kama dola yenye nguvu kubwa zaidi baada ya kuanguka kwa dola ya kirumi.

Na hizo zilikuwa ni holly wars za kusilimisha wakristu katika uislamu. Ila ukiangalia hii tamthilia ipo biased lakini pia walioitafsiri, wamejitahidi kuifanya iwe soft tofauti na ukisoma subtitles zake za Kiingereza

Hata hivyo hainisumbui japo Kwa concerns za watu ni kweli. Ni kama Azam alivyozileta tamthilia za turkey, lebanon na nyingine za nchi za kiarabu kwa sababu zina mifumo ya kiislamu japo ni kawaida tu maana tumekuwa tunaangalia telenovela zenye mifumo ya kikristu pia. Kwa hiyo ukiangalia kawaida hautokusumbua, ila ukiangalia kwa leni ya udini. Utapata udini. Chaguo ni lako
Very good "chaguo ni lako"
 
Ndio nyie wakiristo wa jf mnaosema waislam hawakusoma? Mbona mnalalamikia vitu vidogo? TEC wanasemaje?
Mimi nimeuliza wewe unanishambulia tena we jamaa vp? Halafu nani amekuambia mimi ni mkristo? 🚮🚮🚮
 
Kuwa tu na hicho king'amuzi nyunbani utaahira mwingine!
Baba unaejielewa huwezi kuweka king'amuzi cha azamu nyumbani.

Kimefanya wanawake wamekuwa wavivu, muda wote wanakodolea macho kwenye tv ungese mtupu!

Tamthilia nyingi za azamu zimejaa udini tu!
Mwambie baba yako na mama yako watuletee king'amuzi ili tukinunue kuliko kukandia biashara za wanaume we dada vp?
 
Hv mkijichangisha changish kanisanikwenu hamuwezi kupata pesa ya kuanzisha tv yenu muweke nanyie maudhui yatakayowafurahisha mpaka umpangie mtu jinsi ya kutumia ela zake afu co lazima uangalie kunachanel nying xana azam tena hadi za dini yako ila umegandia ottoman usiniaminishe naww ni amnazo
Hauna akili mimi nimeuliza halafu wewe unanishambulia tena we jamaa kiazi sana halafu nani amekuambia mimi ni mkristo?
 
Tamthilia ya kiwaki sana hiyo, kuna wale jamaa wanapigana front wakigusanisha mapanga, afu kuna wale wa nyuma yao ni kama huwa wanacheza tu hamna kitu wanafanyaga.
 
kwa hiyo Nyerere ndiye aliyejenga Kanisa la Kristo zanzibar? na kwa nini sultani wenu alikimbilia uingereza hata kufia huko badala ya kwao uarabuni alikotokea? ...
Wapi nilikuambia Nyerere kajenga kanisa ? Akili yako iko likizo? Nyerere kajenga Mfumo Kristo Kama alivyoelekezwa na Kanisa Katoliki baada kuivamia Zanzibar na kuuwa maelfu ya watu
 
Mdau ametufata inbox na kutoa dukuduku lake kama ifuatavyo:-
"Tamthilia ya Kituruki Ottoman, ambayo inaoneshwa kupitia Az@m Media, imekuwa gumzo kubwa miongoni mwa watazamaji wengi nchini Tanzania.
Licha ya kuvutia kwa hadithi yake ya kihistoria, baadhi ya watu wameanza kuhoji maudhui yake na ujumbe unaopitishwa.

Katika tamthilia hiyo, inaonekana wazi kuwa kuna mapambano kati ya Waislamu wakiongozwa na Othman na Wakristo wanaowakilishwa kama Waroma. Mapigano haya yanaoneshwa kuwa ni kwa ajili ya kusimika dini ya Uislamu, na katika kila pambano, upande wa Waislamu huonekana kushinda.

Wakati wa ushindi, mara nyingi husikika kauli kama “Allahu Akbar,” huku upande unaoshindwa ukiwasilishwa kwa alama za Kikristo kama misalaba na mavazi yenye maandishi ya Roma. Hali hii imeibua tafsiri kwa baadhi ya watazamaji kuwa kuna ujumbe unaolenga kuonyesha ubora wa dini moja dhidi ya nyingine.

Mbali na hilo, kumekuwa na maswali kuhusu tafsiri ya tamthilia mbalimbali zinazooneshwa. Watazamaji wengine wanasema kuwa hata filamu ambazo si za Kiislamu, tafsiri zake huingiza maneno kama “Assalamu Aleikum” au “Allah,” jambo ambalo linaongeza hisia za mwelekeo wa kidini kwenye maudhui yasiyokuwa ya asili hiyo.

Kutokana na hali hii, baadhi ya watu wangu tunajiuliza:

Je, huu ni mkakati wa makusudi wa kuingiza propaganda ya kidini kupitia burudani?

Aidha, hoja nyingine inayojitokeza ni kuhusu uwiano katika nafasi za kazi ndani ya vyombo vya habari, ambapo tunahisi kuna upendeleo wa kidini unaoweza kuonekana au kuhisiwa"
MDAU AKAMALIZA HIVYO

(MAONI YETU SISI KAMA @JAMIIDIARY)

Ni muhimu kutambua kuwa tamthilia kama Ottoman ni kazi ya kihistoria inayotokana na utamaduni na historia ya Uturuki, ambapo Uislamu ulikuwa sehemu kubwa ya dola hiyo. Hivyo, baadhi ya maudhui yanaweza kuwa yanaakisi historia badala ya kudhani ni kampeni ya moja kwa moja ya kidini.

Kuhusu swala la uwiano wa kazi/ajira kwa kigezo cha dini sio swala la kujadili kwa kuwa tunaamini medias wanaajiri watu kutokana na CV au weledi.

USHAURI: Ni jukumu la vyombo vya habari kuhakikisha maudhui yanatolewa kwa uwiano, lakini pia watazamaji wanapaswa kuwa makini katika kutafsiri kile wanachokiona.
Sio mfuatiliaji wa hiyo tamthilia, lakini kama ujumbe unaooneshwa kwenye hiyo tamthilia basi sio mzuri kisaikolojia.

Hao Azam Tv naamini kabisa wansupenda huo ujumbe ndio maana wanaacha uendelee kuoneshwa kwenye television yao.

Vipi kama hiyo tamthilia ingekuwa na ujumbe wa tofauti, unaoonesha wakristu wakiwapiga waislamu, hao Azam Tv wangeonesha hiyo tamthilia?

Naamini wasingeonesha, kwasababu wanajua hawataki kuifanya dini yao ionekane nyonge dhidi ya dini nyingine.

Sasa kama hawataki kuishusha dini yao, kwanini wanaishusha ya wengine? Vipi ikitokea television station nyingine ikaonesha maudhui ya waislamu wakipigwa na wakristu? Najua watakavyo pagawa.

Azam Tv wanafanya huo ujinga kwasababu wanajua yupo mama yao atawalinda, wanajiona wako salama sana mpaka kuingilia hisia za wengine, na kutojali maumivu wanayowasababishia kisaikolojia.

TCRA wako wapi? Hawauoni huo ujinga wa Azam Tv, au nao ndio wanaogopa kuwashughulikia kwasababu nao wanamuogopa "mama yao" Azam Tv?

Kama wahusika wameamua kulifumbia macho hilo suala, bado uamuzi wa mwisho upo kwa watumiaji wa Azam, waachane na kununua vin'gamuzi vya Azam, watafute wengine wanaojali hisia za watumiaji wa vin'gamuzi vyao.
Ungeujua msimamo wa Azam TV usingeshangaa na msimamo wao kuhusu hilo, Pasaka hawakuithamini kama sikukuu muhimu, hata mfungo wa Kwaresma hawakuutambua.
 
Back
Top Bottom