Ni kweli hali ngumu na umaskini ni fedheha lakini tujiepushe na utajiri wa shortcut, utajuta sana, kafara ni lazima

YANI UMEANDIKA TITTLE KUBWA NKAJUA UNATIRIRIKA HABARI KAMILI KUMBE UNALETA UMBEA HAPA.

KWAHYO UNADHANI SISI HATUWEZI KUJIFANYIA MAAMUZI.


SIJAELEWA KWANINI UMELETA HUU UZI

THIS IS BULLSHIT
Ni wapi nimesema nimeleta huu Uzi ili pimbi kama wewe uelewe.

Ni watu wenye akili tu ndio wanaelewa Uzi huu na siyo matutusa kama wewe.

Shwaini.
 
Bongo pesa ngumu ukiwa nazo tu wanadhani ndumba 😁
 
Hivi umekula leo mchana? naona umejaa makasiriko na unaandika pumba tu mpaka unanifananisha Mimi na Kiranga?

Huu ni msimu wa mihogo na inaiva vizuri hebu pita sehemu upate mihogo kwanza utulize njaa ushushie na Pepsi big akili zitakurudia.
 
Huyo jamaa ni mganga wa kienyeji
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… ni kweli kuna channel ukipata mbona unazipata hizo chumaaa.. sema kila mtu na siri yake.. sio matajiri wakubwa wote ni wa ndumba.. ila kila mtu ana siri yake
Watu hawataki kukubali ukweli kwamba opportunity za Marekani ndio nchi ya self made Billionaire.

Huku kina sisi kama siyo urithi basi lazima iwe ni ufisadi, occult na dark deals, huwezi kupata clean money hata siku moja.

Nilimsikia Shabiby siku moja akiwadanganya watu siri za utajili wake lakini hakuitaja biashara haramu ya pembe za ndovu ilivyowapa utajiri Waarabu wengi wa mikoani.
 
Shida nini Wakuu mbona pic kwangu azionyeshi mnaona nyiny tu.
 
Matajiri wetu wengi huwa wanaeleza upande mmoja, upande wa pili wanaficha sana . Shabiby katumia vizuri gairo vizuri sana kumtengenezea pesa kwa njia zote.. hata gold kule juu watu wamekuwa wanajipigia sana..
 
Tayari huu msiba wa Arusha na Moshi wamekuja kwa kasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…