Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
[emoji20][emoji20]kama hizi utakuwa una hesabu tu eeh [emoji4][emoji4]
View attachment 2679249
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji20][emoji20]kama hizi utakuwa una hesabu tu eeh [emoji4][emoji4]
View attachment 2679249
Ni wapi nimesema nimeleta huu Uzi ili pimbi kama wewe uelewe.YANI UMEANDIKA TITTLE KUBWA NKAJUA UNATIRIRIKA HABARI KAMILI KUMBE UNALETA UMBEA HAPA.
KWAHYO UNADHANI SISI HATUWEZI KUJIFANYIA MAAMUZI.
SIJAELEWA KWANINI UMELETA HUU UZI
THIS IS BULLSHIT
sasa unasikitika kwanininl Kelsea , acha nijilipue.. hata wakinitoa kafara nitawaachia urisi na ma accounts ya bank 😊😊😊 Enjoy banaa[emoji20][emoji20]
Simple mind.huu uzi haueleweki au unatangaza biashara
Aah! Maisha yana siri mkuuu... 😅😅😅 huwezi juaNa chuma kama hizi kuna madogo bongo hii wana sukuma bila ndumba 😄
Namjuwa mmoja anafanyakazi Mohammed enterprises.Na chuma kama hizi kuna madogo bongo hii wana sukuma bila ndumba 😄
nilichomuelewa jamaa, wazi kabisa anasema.. kupata utajiri kwa njia ingine inawezekana ila ni bahati sana, anasema kuna watu wanapata hela za urithi, wengine ufisadi etc.. ila kwa ambao hawaangukii hayo makundi.. inawabidi kama wanataka pesa basi wazijue izo siri na wazitumie ...Simple mind.
Wapo wengi tu wengine hata sio maarufuNamjuwa mmoja anafanyakazi Mohammed enterprises.
Bongo pesa ngumu ukiwa nazo tu wanadhani ndumba 😁Wewe umejuaje kua ile ajali haikua ya kawaida? umefanyaje mpaka ukawa na hayo macho ya rohoni na kuyatumia kuona? na mwingine akitaka kua na hayo macho ya rohoni anayapataje?
Huyo Ginimbi angekua masikini ungeamini kua ajali iliyomuua ni ajali ya kawaida?
Tajiri akifa au mtoto wake akifa,utasikia kamtoa kafara ila Masikini akifa au mwanae akifa utasikia Mungu kampenda zaidi!
Hivi umekula leo mchana? naona umejaa makasiriko na unaandika pumba tu mpaka unanifananisha Mimi na Kiranga?Kuna mtu mzima anayefuatilia maisha ya watu? una watoto wakubwa ila unaleta mambo za kitoto.
Hizi habari achana nazo kuzishabikia ni kwamba unaamini na wewe sio? we si ndo namba moja mara hamna uchawi ,mara hamna Mungu ...Nin kimekupta?
Na Phd yako sasa sikia wapo madogo wanawin kweny game kwenda huko china wanavuta mizigo wanakuja kuuza ,halafu hawana familia kazi zao ni kudaka wadangaji mitandaoni kwa kujipost na kuonyesha pesa.
Watu wanatafuta pesa na wanapata ,we mtu mzima still anajikongoja na elimu yako ya ugoko ,doubts nyingi tambua akili yako ishalala watu washakuzidi maarifa.
😅😅😅😅 ni kweli kuna channel ukipata mbona unazipata hizo chumaaa.. sema kila mtu na siri yake.. sio matajiri wakubwa wote ni wa ndumba.. ila kila mtu ana siri yakeWapo wengi tu wengine hata sio maarufu
Huyo jamaa ni mganga wa kienyejiSitaki kuandika mengi, tutakwenda kwa lugha ya Picha tu, tuwe makini na watu, ukione Picha kama hizi usitamani haya maisha utapelekwa shimoni.
Nilikuwa na conversation ya kuboost biashara zangu na jamaa Fulani ambaye tumefahiana kama mwaka sasa, nikashauriwa nitambulishwe kwenye brotherhood, kwanza Mimi ukiniambia tu neno brotherhood moja kwa moja nakumbuka filamu ya Nigeria Billionaires club ya Pete Edochie na Madon wenzake.
Nina story ndefu na ya kweli ila nawashauri wote tupambane na umaskini tuvumilie shida zina mwisho Mungu atatufanyia wepesi, hawa jamaa mwisho wa siku huwa wanataka kafara ya damu.
Watu hawataki kukubali ukweli kwamba opportunity za Marekani ndio nchi ya self made Billionaire.😅😅😅😅 ni kweli kuna channel ukipata mbona unazipata hizo chumaaa.. sema kila mtu na siri yake.. sio matajiri wakubwa wote ni wa ndumba.. ila kila mtu ana siri yake
Shida nini Wakuu mbona pic kwangu azionyeshi mnaona nyiny tu.Sitaki kuandika mengi, tutakwenda kwa lugha ya Picha tu, tuwe makini na watu, ukione Picha kama hizi usitamani haya maisha utapelekwa shimoni.
Nilikuwa na conversation ya kuboost biashara zangu na jamaa Fulani ambaye tumefahiana kama mwaka sasa, nikashauriwa nitambulishwe kwenye brotherhood, kwanza Mimi ukiniambia tu neno brotherhood moja kwa moja nakumbuka filamu ya Nigeria Billionaires club ya Pete Edochie na Madon wenzake.
Nina story ndefu na ya kweli ila nawashauri wote tupambane na umaskini tuvumilie shida zina mwisho Mungu atatufanyia wepesi, hawa jamaa mwisho wa siku huwa wanataka kafara ya damu.
Unatumia app au web? Install JF mpya kupitia chrome.Shida nini Wakuu mbona pic kwangu azionyeshi mnaona nyiny tu.
AppUnatumia app au web? Install JF mpya kupitia chrome.
Bongo pesa ngumu ukiwa nazo tu wanadhani ndumba [emoji16]
Zimeaza kufunguka nowUnatumia app au web? Install JF mpya kupitia chrome.
Matajiri wetu wengi huwa wanaeleza upande mmoja, upande wa pili wanaficha sana . Shabiby katumia vizuri gairo vizuri sana kumtengenezea pesa kwa njia zote.. hata gold kule juu watu wamekuwa wanajipigia sana..Watu hawataki kukubali ukweli kwamba opportunity za Marekani ndio nchi ya self made Billionaire.
Huku kina sisi kama siyo urithi basi lazima iwe ni ufisadi, occult na dark deals, huwezi kupata clean money hata siku moja.
Nilimsikia Shabiby siku moja akiwadanganya watu siri za utajili wake lakini hakuitaja biashara haramu ya pembe za ndovu ilivyowapa utajiri Waarabu wengi wa mikoani.
Tayari huu msiba wa Arusha na Moshi wamekuja kwa kasiNdio maana tunaadharisha na kuonya, Mimi nilikuwa na issue zangu zingine kabisa naambiwa nikatambulishwe kwenye brotherhood.
Uzuri haya mambo nayajuwa kitambo na ninaamini hata nipitie magumu kiasi gani lakini yana mwisho, siwezi kujoin brotherhood ya occult powers.
Sasa kwa jinsi hali imekuwa ngumu Nina mashaka sana vijana wengi ni kwamba tu hawana connection za kuwafikia wahusika lakini wakipata access kama Mimi itakuja kuwa ni msiba kwa Taifa.