Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,145
- 7,921
Ohh hapana aise...π π π naisikiliza hivi video yake... Joka linatema pesa kama bank, lazima uangushe ng'ombe wawili maksai kila mwisho wa mwezi, ulale chini kwenye chumba ambamo hilo joka limoo.. siku ng'ombe maksai waishe ndio mtu atajua hajui
Unapenda ligi za kitoto sana, sijui JF imekuwaje siku hizi?Usingeweka sura yake za kudownload kwenye page yake ya insta
Hao wanaotafuta utajiri wa halali pia watakufa tu,kwani manufaa anayopata anaetafuta kwa halali ni yapi?Kwa hio wewe upo tayari kumwagwa damu kisa upewe utajiri wa haraka haraka tu ambao hautokunufaisha na chochote maana mda wowote watakuchinja tu ?
404: Page Not Found
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya umeyaletaa wee, afu unanisakizia mie.Wewe tena? ni kama Samaki na maji, ukisikia habari za mitaro basi na wewe huko unapitwa.
Ufukara unatesa sana na usikute mwisho wake ni kifo chako ndo taabu na kila aina ya mateso vinakoma,na hapi usiombe Mungu yupo na una dhambi ya aina yoyote ile,yaan kiufupi umeisha na mateso tena.Kwa kifupi yupo tayari kumtowa kafara mama yake mzazi, Watoto na mke wake, hapo nafsi yake ndio itakuwa na amani.
Katika kumsikiliza kwangu hapa kwa mda mfupi.. Huyu mtu anajua mystery za ulimwengu wa roho katika falame za giza, na viumbe walio asi, na ana mahusiano wa hao viumbe na ndio wanao mpa mafunuo ya siri za upande wao, ingawa kwenye mada haelezi kila kitu kuna vitu ana vizito ana ficha. Na siri hizo ni harisi , kwasababu nilishasoma kitabu cha The Book of Enoch.. wale malaika walio asi walikuwa na siri za mbinguni ambazo hawakupaswa kuzifunua kwa wanadamu , ila wao wakafanya hivyo na ikaleta chaos sana kipindi kile.. wale viumbe walikuwa wanajua siri za vito ( madini yote ), urembo ( maswala ya urembo ) elimu za nyota hata maswala ya chant n.k.. walifundisha wanadamu walipo asi , sasa hiyo elimu huyu jamaa anayo kwa sehemu.. ipo sahihi ila ina negative impact sasa maana shetani hana jema.. ila yupo smart maana hata uandaaji wake kimakara umepangikaTupe faida ambao hatuna app tupate uhondo wa Instagram.
Siyo kesi nikupe namba za simu za kupiga uwe connected na brotherhood.Hao wanaotafuta utajiri wa halali pia watakufa tu,kwani manufaa anayopata anaetafuta kwa halali ni yapi?
Ni rahisi tu kutofautishaUmasikini unafanya mtu aone waliofanikiwa ni freemason...ndugu wa tajiri akifa ni kafara ila ndugu wa masikini akifa ni bahati mbaya ππ
Kwann uwe masikini Hali Mungu amekupa akili na afya.Ufukara unatesa sana na usikute mwisho wake ni kifo chako ndo taabu na kila aina ya mateso vinakoma,na hapi usiombe Mungu yupo na una dhambi ya aina yoyote ile,yaan kiufupi umeisha na mateso tena.
Sasa kwanini niteseke kotekote yaani duniani na peponi wakati ningeweza kuchagua upande mmoja wa kuinjoi ambako ni duniani,maana kwa huko peponi na huu umaskini ndyo kabisaaa unafanya mpaka tunawaza vitu vinavyomkwaza Mungu mpaka tunaingia kutenda dhambi
Umeeleza vizuri, Mimi nimezungumza naye kwa zaidi ya nusu saa kwenye issue genuine kabisa, lakini alivyonielekeza upande huu basi Mimi huwa sina amani na mwisho wa upande haujawahi kuwa mzuri.Katika kumsikiliza kwangu hapa kwa mda mfupi.. Huyu mtu anajua mystery za ulimwengu wa roho katika falame za giza, na viumbe walio asi, na ana mahusiano wa hao viumbe na ndio wanao mpa mafunuo ya siri za upande wao, ingawa kwenye mada haelezi kila kitu kuna vitu ana vizito ana ficha. Na siri hizo ni harisi , kwasababu nilishasoma kitabu cha The Book of Enoch.. wale malaika walio asi walikuwa na siri za mbinguni ambazo hawakupaswa kuzifunua kwa wanadamu , ila wao wakafanya hivyo na ikaleta chaos sana kipindi kile.. wale viumbe walikuwa wanajua siri za vito ( madini yote ), urembo ( maswala ya urembo ) elimu za nyota hata maswala ya chant n.k.. walifundisha wanadamu walipo asi , sasa hiyo elimu huyu jamaa anayo kwa sehemu.. ipo sahihi ila ina negative impact sasa maana shetani hana jema.. ila yupo smart maana hata uandaaji wake kimakara umepangika
Waulize wana million+ maan anakwambia ana watu uarabuni bei ake sio kitotoSiyo kesi nikupe namba za simu za kupiga uwe connected na brotherhood.
Asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu.
Kwann uwe masikini Hali Mungu amekupa akili na afya.
Dah!Huyo mtu unaemwandikia hivi miaka ya 2000 aliondoka na passport ya Kaburu kutokea Cape Town kwenda UK leo 2023 unasema atoke kwa Bimkubwa?
Ndio yeyeSiyo Shafii.