Ni kweli hali ngumu na umaskini ni fedheha lakini tujiepushe na utajiri wa shortcut, utajuta sana, kafara ni lazima

Attachments

  • Screenshot_2023-07-05-12-59-38-41.png
    Screenshot_2023-07-05-12-59-38-41.png
    145.4 KB · Views: 19
Kwa kifupi yupo tayari kumtowa kafara mama yake mzazi, Watoto na mke wake, hapo nafsi yake ndio itakuwa na amani.
Ufukara unatesa sana na usikute mwisho wake ni kifo chako ndo taabu na kila aina ya mateso vinakoma,na hapi usiombe Mungu yupo na una dhambi ya aina yoyote ile,yaan kiufupi umeisha na mateso tena.

Sasa kwanini niteseke kotekote yaani duniani na peponi wakati ningeweza kuchagua upande mmoja wa kuinjoi ambako ni duniani,maana kwa huko peponi na huu umaskini ndyo kabisaaa unafanya mpaka tunawaza vitu vinavyomkwaza Mungu mpaka tunaingia kutenda dhambi
 
Tupe faida ambao hatuna app tupate uhondo wa Instagram.
Katika kumsikiliza kwangu hapa kwa mda mfupi.. Huyu mtu anajua mystery za ulimwengu wa roho katika falame za giza, na viumbe walio asi, na ana mahusiano wa hao viumbe na ndio wanao mpa mafunuo ya siri za upande wao, ingawa kwenye mada haelezi kila kitu kuna vitu ana vizito ana ficha. Na siri hizo ni harisi , kwasababu nilishasoma kitabu cha The Book of Enoch.. wale malaika walio asi walikuwa na siri za mbinguni ambazo hawakupaswa kuzifunua kwa wanadamu , ila wao wakafanya hivyo na ikaleta chaos sana kipindi kile.. wale viumbe walikuwa wanajua siri za vito ( madini yote ), urembo ( maswala ya urembo ) elimu za nyota hata maswala ya chant n.k.. walifundisha wanadamu walipo asi , sasa hiyo elimu huyu jamaa anayo kwa sehemu.. ipo sahihi ila ina negative impact sasa maana shetani hana jema.. ila yupo smart maana hata uandaaji wake kimakara umepangika
 
Ufukara unatesa sana na usikute mwisho wake ni kifo chako ndo taabu na kila aina ya mateso vinakoma,na hapi usiombe Mungu yupo na una dhambi ya aina yoyote ile,yaan kiufupi umeisha na mateso tena.

Sasa kwanini niteseke kotekote yaani duniani na peponi wakati ningeweza kuchagua upande mmoja wa kuinjoi ambako ni duniani,maana kwa huko peponi na huu umaskini ndyo kabisaaa unafanya mpaka tunawaza vitu vinavyomkwaza Mungu mpaka tunaingia kutenda dhambi
Kwann uwe masikini Hali Mungu amekupa akili na afya.
 
Katika kumsikiliza kwangu hapa kwa mda mfupi.. Huyu mtu anajua mystery za ulimwengu wa roho katika falame za giza, na viumbe walio asi, na ana mahusiano wa hao viumbe na ndio wanao mpa mafunuo ya siri za upande wao, ingawa kwenye mada haelezi kila kitu kuna vitu ana vizito ana ficha. Na siri hizo ni harisi , kwasababu nilishasoma kitabu cha The Book of Enoch.. wale malaika walio asi walikuwa na siri za mbinguni ambazo hawakupaswa kuzifunua kwa wanadamu , ila wao wakafanya hivyo na ikaleta chaos sana kipindi kile.. wale viumbe walikuwa wanajua siri za vito ( madini yote ), urembo ( maswala ya urembo ) elimu za nyota hata maswala ya chant n.k.. walifundisha wanadamu walipo asi , sasa hiyo elimu huyu jamaa anayo kwa sehemu.. ipo sahihi ila ina negative impact sasa maana shetani hana jema.. ila yupo smart maana hata uandaaji wake kimakara umepangika
Umeeleza vizuri, Mimi nimezungumza naye kwa zaidi ya nusu saa kwenye issue genuine kabisa, lakini alivyonielekeza upande huu basi Mimi huwa sina amani na mwisho wa upande haujawahi kuwa mzuri.

Ana contact zangu na Nina contact zake kwa upande wangu tutashirikiana kwa mengine lakini hizi occult hapana.
 
Kinachofanyika ni maarifa, nguvu kidogo pesa nyingi; kinachowafanya watu wakuletee hiyo pesa ndio hiyo imani, ambayo lazima uingie kwenye maagano.

Duka moja linaweza kufurika wateja na mauzo yakawa makubwa kuliko duka la jirani, na wote wanauza vitu vile vile; kinachotofautisha ni imani.

Do business in uncommon way; na wote waliofanikiwa hufanya mambo yao in 'uncommon way' kwa hiyo tafuta hiyo 'uncommon way'​
 
Back
Top Bottom