Katika kumsikiliza kwangu hapa kwa mda mfupi.. Huyu mtu anajua mystery za ulimwengu wa roho katika falame za giza, na viumbe walio asi, na ana mahusiano wa hao viumbe na ndio wanao mpa mafunuo ya siri za upande wao, ingawa kwenye mada haelezi kila kitu kuna vitu ana vizito ana ficha. Na siri hizo ni harisi , kwasababu nilishasoma kitabu cha The Book of Enoch.. wale malaika walio asi walikuwa na siri za mbinguni ambazo hawakupaswa kuzifunua kwa wanadamu , ila wao wakafanya hivyo na ikaleta chaos sana kipindi kile.. wale viumbe walikuwa wanajua siri za vito ( madini yote ), urembo ( maswala ya urembo ) elimu za nyota hata maswala ya chant n.k.. walifundisha wanadamu walipo asi , sasa hiyo elimu huyu jamaa anayo kwa sehemu.. ipo sahihi ila ina negative impact sasa maana shetani hana jema.. ila yupo smart maana hata uandaaji wake kimakara umepangika