Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 16,583
- 42,992
Naumia sana nikimuwaza MDUDE NYAGALI CHADEMA na mbaya ZAIDI kweli rais Samia ameamua kukaa kimya asiseme lolote hata pole ya kinafiki? Mh kweli watanzania tumepatikana mno isivyo kawaida. Bora waliyoyasemea haya sirini na hadharani kuliko waliokaa kimya. Mdude kama hatutaonana Tena basi damu Yako haitaenda Bure.