M Matrix19 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2020 Posts 15,568 Reaction score 29,756 May 31, 2025 #81 Nyie jana bado hamjajua watekaji wanachukua maelekezo wapi?
G Guruli Member Joined Apr 11, 2025 Posts 28 Reaction score 28 May 31, 2025 #82 Alafu kuna ******* wanasema tuliombee taifa Na kuna story wanasema Tanzania ni kitovu cha Amani...
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,227 Reaction score 98,761 Jun 1, 2025 #83 Wale watu wa mbeya naona washasanda ,BAK Mwabukusi naye kala Chocho ! Inasikitisha sana!! Mwamba ndiyo basi tena kashaliwa na Mamba/Viboko.
Wale watu wa mbeya naona washasanda ,BAK Mwabukusi naye kala Chocho ! Inasikitisha sana!! Mwamba ndiyo basi tena kashaliwa na Mamba/Viboko.
Andromeda Galaxy JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 9,846 Reaction score 16,713 Jun 1, 2025 #84 Hii nchi imejaa ukatili mno, kauli ya kisiwa Cha amani imebaki historia kwenye vitabu
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,227 Reaction score 98,761 Jun 1, 2025 #85 JUA ni Kali Sana said: Hii nchi imejaa ukatili mno, kauli ya kisiwa Cha amani imebaki historia kwenye vitabu Click to expand... Vichwa vyenye akili vinauliwa wanabakisha MABUMUNDA tu! Ben Saanane Phd holder amepotezwa kisa tu kuchallenge ELimu ya "MTU FURANI".
JUA ni Kali Sana said: Hii nchi imejaa ukatili mno, kauli ya kisiwa Cha amani imebaki historia kwenye vitabu Click to expand... Vichwa vyenye akili vinauliwa wanabakisha MABUMUNDA tu! Ben Saanane Phd holder amepotezwa kisa tu kuchallenge ELimu ya "MTU FURANI".
Andromeda Galaxy JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 9,846 Reaction score 16,713 Jun 1, 2025 #86 King Kong III said: Vichwa vyenye akili vinauliwa wanabakisha MABUMUNDA tu! Ben Saanane Phd holder amepotezwa kisa tu kuchallenge ELimu ya "MTU FURANI". Click to expand... Hakika inasikitisha
King Kong III said: Vichwa vyenye akili vinauliwa wanabakisha MABUMUNDA tu! Ben Saanane Phd holder amepotezwa kisa tu kuchallenge ELimu ya "MTU FURANI". Click to expand... Hakika inasikitisha