stonecutter
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 2,446
- 3,616
Kauli za mama mkwe "mtanitambua". Kauli za mkwe "tuta....hata kwa gharama ya damu " Tupo kwenye mpito mkali sana. Mitano tena.
Ndo hvo, si wananidharau kwa vile mm ni mwanamke, ngoja niwaonyeshe rangi sasa,Kilicho nishangaza ni raia # 1 kutopepesa macho yaan mkavuuu
magwajima hawajui kucheza ngoma, wapo wapo tu kama majdhuub vile, kama rais tunaye wallah [/QUOTE]magwajima hawajui kucheza ngoma, wapo wapo tu kama majdhuub vile, kama rais tunaye wallah [/QUOTE] magwajima hawajui kucheza ngoma, wapo wapo tu kama majdhuub vile, kama rais tunaye [/QUOTE]magwajima hawajui kucheza ngoma, wapo wapo tu kama majdhuub vile, kama rais tunaye wallah [/QUOTE]magwajima hawajui kucheza ngoma, wapo wapo tu kama majdhuub vile, kama rais tunaye wallah [/QUOTE] magwajima hawajui kucheza ngoma, wapo wapo tu kama majdhuub vile, kama rais tunaye wallah tena.Weka nje magwajima.
Inamaana wamemuua?Naumia sana nikimuwaza MDUDE NYAGALI CHADEMA na mbaya ZAIDI kweli rais Samia ameamua kukaa kimya asiseme lolote hata pole ya kinafiki? Mh kweli watanzania tumepatikana mno isivyo kawaida. Bora waliyoyasemea haya sirini na hadharani kuliko waliokaa kimya. Mdude kama hatutaonana Tena basi damu Yako haitaenda Bure.
Ulimsikia mwenyekit wa chama na rais wa jmt jana
ni kwamba ameshajiapiza kuwa... ngoja sasa niwaonyeshe mm ni nani.
MamaSamia2025 majibu yako tafadhali. Tutashukurua sana kama atarudi salama. Kumbuka tu uhai wa mwanadamu una thamani sana kuliko kitu kingine chochote kile.Naumia sana nikimuwaza MDUDE NYAGALI CHADEMA na mbaya ZAIDI kweli rais Samia ameamua kukaa kimya asiseme lolote hata pole ya kinafiki? Mh kweli watanzania tumepatikana mno isivyo kawaida. Bora waliyoyasemea haya sirini na hadharani kuliko waliokaa kimya. Mdude kama hatutaonana Tena basi damu Yako haitaenda Bure.
Mbona mnakua na vichwa vigumu ninyi ,unasemaje rais amekaa kimya wakati alishasema utekaji ni drama ? Inakuaje mnataka kujifanya kama vile ajui wakati kwa asilimia mia kwasasa ameshathibitisha yeye ndo dikteta rejea suala la gwajima na response yake.Naumia sana nikimuwaza MDUDE NYAGALI CHADEMA na mbaya ZAIDI kweli rais Samia ameamua kukaa kimya asiseme lolote hata pole ya kinafiki? Mh kweli watanzania tumepatikana mno isivyo kawaida. Bora waliyoyasemea haya sirini na hadharani kuliko waliokaa kimya. Mdude kama hatutaonana Tena basi damu Yako haitaenda Bure.
Damu isiyo na hatia hua inarudi mara 7 sabini..hata yule aliekua anaabudiwa kabla ya huyu naye aliua, Yuko wapi saivi?Ni nani? fafanua ili tusiomjua tupate kumfahamu
Naam mstari wa mwisho ndo jibu ,,,mbwembwe zote hizo lakini mwisho wa siku futi sita zinatuhusu kila mmoja.Damu isiyo na hatia hua inarudi mara 7 sabini..hata yule aliekua anaabudiwa kabla ya huyu naye aliua, Yuko wapi saivi?
Naumia sana Mdude nilikuwa namkubali sana.😭Naumia sana nikimuwaza MDUDE NYAGALI CHADEMA na mbaya ZAIDI kweli rais Samia ameamua kukaa kimya asiseme lolote hata pole ya kinafiki? Mh kweli watanzania tumepatikana mno isivyo kawaida. Bora waliyoyasemea haya sirini na hadharani kuliko waliokaa kimya. Mdude kama hatutaonana Tena basi damu Yako haitaenda Bure.
angekuwa siyo muhusika angeshatoka hadharani na kukemea, mbona mifano tu ya gwajima imemtoa macho kama mjusi aliyebanwa na mlango,Kwa jinsi alivyoongea hana, ni dhahili kuwa ni muhusika mkuu wa haya yote.
za watz tushaona kawaida tutalalamika tu mitandaoni kwanmwez imeisha hiyoNaumia sana nikimuwaza MDUDE NYAGALI CHADEMA na mbaya ZAIDI kweli rais Samia ameamua kukaa kimya asiseme lolote hata pole ya kinafiki? Mh kweli watanzania tumepatikana mno isivyo kawaida. Bora waliyoyasemea haya sirini na hadharani kuliko waliokaa kimya. Mdude kama hatutaonana Tena basi damu Yako haitaenda Bure.
Wauaji mnateteana...waislam bhana🚮Sema kijana wetu alikuwa na matusi sana, hawa watawala nao ni binadamu kama wengine nao wana ukomo wa uvumilivu, kama mtu anapenda familia yake it's better kujiweka mbali na clashes za siasa.
Lakini kujiita sumu ya nyigu halafu matusi mengi kwa watu walioshika mpini kumbe huna backup yeyote ni sawa na planned suicide, alisema wembe aliotumia kumnyoa mtangulizi wake atamnyoa na yeye maybe amewahiwa amenyolewa yeye who knows.
Mwenyezi Mungu atatulipiaNaumia sana nikimuwaza MDUDE NYAGALI CHADEMA na mbaya ZAIDI kweli rais Samia ameamua kukaa kimya asiseme lolote hata pole ya kinafiki? Mh kweli watanzania tumepatikana mno isivyo kawaida. Bora waliyoyasemea haya sirini na hadharani kuliko waliokaa kimya. Mdude kama hatutaonana Tena basi damu Yako haitaenda Bure.
Ulitaka tufanyeje nduguKinachoumi
za watz tushaona kawaida tutalalamika tu mitandaoni kwanmwez imeisha hiyo