Mrs Byesige
JF-Expert Member
- Nov 5, 2019
- 2,025
- 3,969
Tuandamane hadi ikulu. Na ofisi zote za.ccm..hawa mbwa kukinukisha kweli kweli watatia akili.pumbafuUlitaka tufanyeje ndugu
Tuandamane hadi ikulu. Na ofisi zote za.ccm..hawa mbwa kukinukisha kweli kweli watatia akili.pumbafuUlitaka tufanyeje ndugu
Inasikitisha sana mkuu.Naumia sana nikimuwaza MDUDE NYAGALI CHADEMA na mbaya ZAIDI kweli rais Samia ameamua kukaa kimya asiseme lolote hata pole ya kinafiki? Mh kweli watanzania tumepatikana mno isivyo kawaida. Bora waliyoyasemea haya sirini na hadharani kuliko waliokaa kimya. Mdude kama hatutaonana Tena basi damu Yako haitaenda Bure.
Mdude ni nani? SimfahamuDamu isiyo na hatia hua inarudi mara 7 sabini..hata yule aliekua anaabudiwa kabla ya huyu naye aliua, Yuko wapi saivi?
Kamuulize rais wako..Mdude ni nani? Simfahamu
Kama wameshamuua, then he feels no more pain again.Naumia sana nikimuwaza MDUDE NYAGALI CHADEMA na mbaya ZAIDI kweli rais Samia ameamua kukaa kimya asiseme lolote hata pole ya kinafiki? Mh kweli watanzania tumepatikana mno isivyo kawaida. Bora waliyoyasemea haya sirini na hadharani kuliko waliokaa kimya. Mdude kama hatutaonana Tena basi damu Yako haitaenda Bure.
Mengine yakupite,🚮wauaji wakubwannyieMdude ni nani? Simfahamu
🥵Mdude ni nani? Simfahamu
Mtaishia hivyo hivyo!Naumia sana nikimuwaza MDUDE NYAGALI CHADEMA na mbaya ZAIDI kweli rais Samia ameamua kukaa kimya asiseme lolote hata pole ya kinafiki? Mh kweli watanzania tumepatikana mno isivyo kawaida. Bora waliyoyasemea haya sirini na hadharani kuliko waliokaa kimya. Mdude kama hatutaonana Tena basi damu Yako haitaenda Bure.
Sijui uislamu umeingiaje hapo, mimi sio mwanasiasa wala siruhusiwi kuingia kwenye mambo hayo, nimecomment ninachokiona kama member wa jamiiforums wa muda mrefu, si vyema kumcriticise mtu kisa tu ni dini tofauti au ana msimamo tofauti na wewe.Wauaji mnateteana...waislam bhana🚮
Injinia Hersi au Karia?Kamuulize rais wako..
Mapema sana tayarPengine wachawi wa ccm wameshamla nyama
kama aishivyo Mungu, atajuta yeye na kizazi chake mileleDamu isiyo na hatia hua inarudi mara 7 sabini..hata yule aliekua anaabudiwa kabla ya huyu naye aliua, Yuko wapi saivi?
Naumia sana nikimuwaza MDUDE NYAGALI CHADEMA na mbaya ZAIDI kweli rais Samia ameamua kukaa kimya asiseme lolote hata pole ya kinafiki? Mh kweli watanzania tumepatikana mno isivyo kawaida. Bora waliyoyasemea haya sirini na hadharani kuliko waliokaa kimya. Mdude kama hatutaonana Tena basi damu Yako haitaenda Bure.
kama aishivyo Mungu, atajuta yeye na kizazi chake mileleDamu isiyo na hatia hua inarudi mara 7 sabini..hata yule aliekua anaabudiwa kabla ya huyu naye aliua, Yuko wapi saivi?