Kwa hiyo unataka vitaHata mimi hii ishu ya Mdude imeniuma mno.
Watanganyika tumelala mno usingizi mzoto sana.
INAUMA SANA HII KITU.
Ukishajua inakuwaje?Mm nauliza wanyekujua Mdude ashawai kugombea nafasi yoyote ya Kuchaguliwa iwe ndani ya Chama au Uchaguzi mwengine wa kitaifa.??
Nashauri familia ya Mdude wazame sumbawanga ndichi uko majibu yatapatikana haraka tuMachozi ya mke wake hayataenda bure, aliyeagiza, aliyefanikisha na aliyemtoa uhai kama ameshafariki. Basi damu ya Mdude na machozi ya mwanamke yule hayatawaacha salama watesi wa Mdude. Wajue tu hili ni deni wamelikopa, watalilipa tu.
Hii rango ni laana nyingine ya kitaifaKama tuna viongozi wa namna hii unategemea nini?View attachment 3351659
Weka nje magwajima.Ulimsikia mwenyekit wa chama na rais wa jmt jana
ni kwamba ameshajiapiza kuwa... ngoja sasa niwaonyeshe mm ni nani.
Mdude ujasiri wake haumithiriki ametekwa, ameteswa, amefungwa ila bado hajabadili msimamo wala kukimbia nchi.Naumia sana nikimuwaza MDUDE NYAGALI CHADEMA na mbaya ZAIDI kweli rais Samia ameamua kukaa kimya asiseme lolote hata pole ya kinafiki? Mh kweli watanzania tumepatikana mno isivyo kawaida. Bora waliyoyasemea haya sirini na hadharani kuliko waliokaa kimya. Mdude kama hatutaonana Tena basi damu Yako haitaenda Bure.