Ni kweli hatutamuona milele mdude nyagali mpaluka CHADEMA? Ni kweli Sauti yake wameizima milele?

Kauli za mama mkwe "mtanitambua". Kauli za mkwe "tuta....hata kwa gharama ya damu " Tupo kwenye mpito mkali sana. Mitano tena.
 
Weka nje magwajima.
magwajima hawajui kucheza ngoma, wapo wapo tu kama majdhuub vile, kama rais tunaye wallah [/QUOTE]magwajima hawajui kucheza ngoma, wapo wapo tu kama majdhuub vile, kama rais tunaye wallah [/QUOTE] magwajima hawajui kucheza ngoma, wapo wapo tu kama majdhuub vile, kama rais tunaye [/QUOTE]magwajima hawajui kucheza ngoma, wapo wapo tu kama majdhuub vile, kama rais tunaye wallah [/QUOTE]magwajima hawajui kucheza ngoma, wapo wapo tu kama majdhuub vile, kama rais tunaye wallah [/QUOTE] magwajima hawajui kucheza ngoma, wapo wapo tu kama majdhuub vile, kama rais tunaye wallah tena.
 
Inamaana wamemuua?
 
Inasikitisha sana halafu nimegundua kumbe kuteka na kupoteza watu ni mpango wa ccm, ndiyo maana hata wote wameamua kumshambulia Gwajima badala ya kujibu hoja zake, hakuna hats mmoja anaekemea vitendo hivyo zaidi ya Gwajima +Mpina
 
MamaSamia2025 majibu yako tafadhali. Tutashukurua sana kama atarudi salama. Kumbuka tu uhai wa mwanadamu una thamani sana kuliko kitu kingine chochote kile.
 
Kwa maneno yale ya Namba moja Bwana Mdude hayupo duniani...na haya yanayofanyika yanabaraka yao.

Hata waliohudhuria sherehe ya chama chao ndo wale vyama vyao vina mlengo unaofanana na chama chao.
 
Mbona mnakua na vichwa vigumu ninyi ,unasemaje rais amekaa kimya wakati alishasema utekaji ni drama ? Inakuaje mnataka kujifanya kama vile ajui wakati kwa asilimia mia kwasasa ameshathibitisha yeye ndo dikteta rejea suala la gwajima na response yake.

Najiuliza hii mahakama ya kimataifa ina kazi gani🚮
 
Sema kijana wetu alikuwa na matusi sana, hawa watawala nao ni binadamu kama wengine nao wana ukomo wa uvumilivu, kama mtu anapenda familia yake it's better kujiweka mbali na clashes za siasa.

Lakini kujiita sumu ya nyigu halafu matusi mengi kwa watu walioshika mpini kumbe huna backup yeyote ni sawa na planned suicide, alisema wembe aliotumia kumnyoa mtangulizi wake atamnyoa na yeye maybe amewahiwa amenyolewa yeye who knows.
 
Naumia sana Mdude nilikuwa namkubali sana.😭
 
Kinachoumi
za watz tushaona kawaida tutalalamika tu mitandaoni kwanmwez imeisha hiyo
 
Wauaji mnateteana...waislam bhana🚮
 
Mwenyezi Mungu atatulipia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…