Ni kweli hatutamuona milele mdude nyagali mpaluka CHADEMA? Ni kweli Sauti yake wameizima milele?

Hivi bi samia naye ana PhD??
Twafa
 
Alaaniwe Juma Homera aliyetoa agizo la Mdude kutekwa na kuwawa.
 
Nchi Haina sheria? Mahakama ni ya kazi gani kama Kila anayekuudhi unamuua? Unaongeleaje mzee kibao? Soka? Dogo alichoma picha ya rais?
Utawala wa sheria umekoma rasmi?
 
"Damu ya mdude iwe juu yao na vizazi vyao kuanzia juu hadi chini"
Kama ilivyo tenda damu ya Azory
 
Hawa hayawani hawana huruma na kiumbe agusae shibe yao hata yule jamaa kwa sababu ni mkenya bila hivyo asingeliona jua hawana jipya hawa
 
"Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya kitanzania. Tunataka vijana waasi dhidi ya mifumo kandamizi, ubwana na ufisadi katika Taifa"

Mwl J.K. Nyerere, Rais wa Kwanza wa Tanzania
 
Nadhani haya maneno aliyanena akiwa nje ya madaraka.
Watawala wa kiafrika huwa na akili walishatoka madarakani.
Leo hii Kabila ndo wa kumuita Tsekekedi dikteta" Yeye alifanya nini akiwa madarakani
 
Kwa hiyo unataka vita
Ndiyo siyo tu anataka tumeshatangaziwa na vita imeanza tayari ! Ni uzembe wetu kutotembea na silaha na kukosa utayari! Kauli ya FIRE imelia toka guberi wa kike atinge ikulu!
 
Daaaaaaaaaaa nchi hii Kuna wakt naichukia sana nakuwa na hasira sana.. mungu wangu tutetee Sina wanao.
 
Huwezi ilinda amani kwa kuua sauti ya haki
 

Attachments

  • FDownloader.Net_AQMLUDeyElZm_tSJGOkF3NFJMySzOq9u6wS_iXjgmqj8awMs64sKyxFEdhSpDO2Uy5lrrvKq6yMqiS...mp4
    3.9 MB
Mtu mweusi ana roho mbaya usipime.
Kabulu Botha alisema " uhitaji kutumia silaha kumua mtu mweusi mpe silaha mtu mweusi atakuulia ndugu yake hadi ambavyo hautoamini "
Ni maneno ya kibaguzi lakini yanaishi
 
Watoa roho wako kazini. Walinda Mali walizoiba. Ukipiga kelele tu wanakuua
 
Nchi Haina sheria? Mahakama ni ya kazi gani kama Kila anayekuudhi unamuua? Unaongeleaje mzee kibao? Soka? Dogo alichoma picha ya rais?
Utawala wa sheria umekoma rasmi?
Mimi sio msemaji wa serikali mkuu wangu nimecomment from my own opinion, ila nilichokisema kuingia kwenye clashes na watawala matokeo yake huweza kuwa fatal.
 
Ni kama nchi yote imetekwa na hakuna cha kufanya kujinasua..
 
Lissu ndani
Mdude hatumuoni
Wengi wametekwa atujui kama wazima au wameuwawa
Asee mwaka huu ccm must out💯
Hatuwezi kuwa na nchi ambayo hakuna uhuru wa kuwasilisha mawazo binafsi na kama hakuna reform bhas hakuna uchaguzi 💯 ✌️ 🔥
Tutakuwepo 😎
 
Kazi ya Mtoto wa Mkojani Kuuwa wenzie.
Kazi ya Familia Yao hi.
 
Mwenyezi Mungu huyaona yoote naye ndiye mwenye majibu sahihi kwakila jambo hakawii Wala hawahi ila hufanya Kwa wakati pale tunapomtumai....
Itoshe KUSEMA Yeye atafanya!
 
Viongozi na wanachama wanalo jibu sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…