Ni kweli hatutamuona milele mdude nyagali mpaluka CHADEMA? Ni kweli Sauti yake wameizima milele?

Nyie jana bado hamjajua watekaji wanachukua maelekezo wapi?
 
Alafu kuna ******* wanasema tuliombee taifa
Na kuna story wanasema Tanzania ni kitovu cha Amani...
 
Wale watu wa mbeya naona washasanda ,BAK Mwabukusi naye kala Chocho ! Inasikitisha sana!! Mwamba ndiyo basi tena kashaliwa na Mamba/Viboko.
 
Hii nchi imejaa ukatili mno, kauli ya kisiwa Cha amani imebaki historia kwenye vitabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…