Ni kweli hili shirika wanatoa pesa za bure?

Ni kweli hili shirika wanatoa pesa za bure?

Gulio Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,325
Reaction score
7,807
Nimekutana na hii post kwa mtu wa karibu tunayefahamiana kupewa million Tano kwa kujisajiri kwenye hilo shirika
Post hii

"wengi walighairi ila ni ukweli nilipokea hizi hela kutoka USAID promotion ni halali wala sio mkopo.Unalipa ada kulingana na mchango utakaochagua iwapo uko na hela zinazolingana kuwezesha, nilipokea zangu pia tsh 5,464,000 baada ya kuchagua na kulipa ada tsh 98,999.Jiunge nao kupitia huu mchongo kisha tuma n
 
Attachments

  • 1734590065917.png
    1734590065917.png
    11.2 KB · Views: 4
Nimekutana na hii post kwa mtu wa karibu tunayefahamiana kupewa million Tano kwa kujisajiri kwenye hilo shirika
Post hii

"wengi walighairi ila ni ukweli nilipokea hizi hela kutoka USAID promotion ni halali wala sio mkopo.Unalipa ada kulingana na mchango utakaochagua iwapo uko na hela zinazolingana kuwezesha, nilipokea zangu pia tsh 5,464,000 baada ya kuchagua na kulipa ada tsh 98,999.Jiunge nao kupitia huu mchongo kisha tuma n
Una miaka mingapi?
 
Embu tafuta pesa zako msije mkaja kulia hapa kama mlivyo lizwa na pepsi
 
Wewe sijui upoje ,hao ni matapeli,wanaiba akaunt za mtu wako au watu wako wa karibu

Juzi kanifata mmoja kwa akaunt ya mtu namjua , nikamwambia mm mwenyewe ni tapeli ,sasa nakuomba rudisha akaunt ya watu ,likasema basi nilitafutie akaunt nyingine likipata pesa tutagawana

Nikaliambia litume pesa ya bundle

Mimi ndio nikawa tapeli sasa
 
Back
Top Bottom