Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Sio kila mtu amewahi kupigwa. Kuna mambo hayaingii akilini yaani ukianza tu kuelezwa unajua huu ni utapeli tangu mwanzoHakunaga mjanja mjini hapa kila mtu aliyepo town alishawahi pigwa kwa wakati wake usisahau watu laki nne wanaofika kwenye mikesha ya mwamposa kila mwaka kuuziwa maji na mafuta hakunaga mjanja mjini kila mtu analiwa kwa wakati wake