Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Una miaka mingapi?Nimekutana na hii post kwa mtu wa karibu tunayefahamiana kupewa million Tano kwa kujisajiri kwenye hilo shirika
Post hii
"wengi walighairi ila ni ukweli nilipokea hizi hela kutoka USAID promotion ni halali wala sio mkopo.Unalipa ada kulingana na mchango utakaochagua iwapo uko na hela zinazolingana kuwezesha, nilipokea zangu pia tsh 5,464,000 baada ya kuchagua na kulipa ada tsh 98,999.Jiunge nao kupitia huu mchongo kisha tuma n
Nimepata hilo tangazo kwa mtu tunayefahamiana kabisa yeye ana sema amepata pesa ndio mana nimekuja kuulizajinga kweli
Miaka sawa na weweUna miaka mingapi?
😂😂 na vitakapo umana fahamianeni hivyohivyo!Nimepata hilo tangazo kwa mtu tunayefahamiana kabisa yeye ana sema amepata pesa ndio mana nimekuja kuuliza
unauhakika ni kweli kapata hizo pesa??Nimepata hilo tangazo kwa mtu tunayefahamiana kabisa yeye ana sema amepata pesa ndio mana nimekuja kuuliza
Amethibitisha kupata pesa😂😂 na vitakapo umana fahamianeni hivyohivyo!
unauhakika ni kweli kapata hizo pesa??
bado humfahamu huyo mtu vizuri nduguNimepata hilo tangazo kwa mtu tunayefahamiana kabisa yeye ana sema amepata pesa ndio mana nimekuja kuuliza
Mbona unanitishabado humfahamu huyo mtu vizuri ndugu
Acha ujingaMbona unanitisha
ndio nakwambiaMbona unanitisha