Ni kweli hili shirika wanatoa pesa za bure?

Ndio ni kweli, wacheki upate pesa ya christmas
 
Hili swali lilipaswa kuulizwa na mtoto wa drs la 7 aliyejiunga Facebook juzi.
Hivi duniani kuna shirika linalogawa pesa ?
Yaani watu wakae waandae shirika la kugawa pesa 😭😭😭😭
 
Achana nalo,kwni kufahamiana na mtu Ni Nini?
Kwamba mkifahamiana ndo atashindwa kukulaghai??
Tumefanya naye kazi kwa kipindi kirefu hivyo kwa uaminifu siku Kujua kama Kuna watu wanauwezo waku hack ya mtu
 
Nimepata hilo tangazo kwa mtu tunayefahamiana kabisa yeye ana sema amepata pesa ndio mana nimekuja kuuliza
Sasa huyo mtu mnayefahamiana aliingia kwenye mtego. Kuna links wanakutumia ukijiroga basi wanakuwa na uwezo wa kuendesha social medias zako zote mpaka whatasap zako.
Kwahiyo huyo aliyekutumia sio mtu unayemfahamu bali ni tapeli aliyefanikiwa kucontrol mawasiliano ya huyo mtu. Hakuna pesa za bure. Hata haya mashirika yanayotoa misaada kwa vijana huwa wanataka uandae proposal inayoeleweka kitu ambacho lazima utumie akili na muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…