Ni kweli Idris na Wema Sepetu wameachana?

Nuh huyo
 
Anasema account yake ime-huckiwa sie yeye huyo....anadai baada ya kuachana na Shishi, Shishi akaenda kwa account yake (alikuwa anajua password zake) then akafuta picha zote za Nuh na yeye.
Hivo anamlaumu zilipendwa wake kwa kumfanyia ndivyo-sivyo huko Insta..ila hana lolote anatafuta pa kufia tu.
Na mgongo wake ulivyokuwa mpana kama meza ya draft.

Wakati huku wengine wanasema hiyo ndo official account ya Nuhu.
Mjini patamu
 
Khaaa,hakyanani bado nimetoa macho..hivi dida nini lakini mbona anamaliza watoto wa wenzie...
Mtoto wa 93 na kiajuza kile,jamaniii mbona nimeumia kama mie ndio mama wa huyo kijana...
Na katika The Mboni Show akamalizia kwa kusema, yeye anajua anaufundi ambao akimpa mwanaume na akija kuachana nae lazima amkumbuke.
Labda wanapewa mkundu maana wanaume zetu wanapenda sana hii kitu
 
mpendwa kilimo cha matikiti unakielewa tupeane uzoefu?? hasa kwenye namna ya kuyalima na madawa
mkuu vijana wengi siku hzi wanatoka kwa ajili ya matikiti sio masihara yanahitaji uangalifu mkubwa kwa kuwa ukicheza rafu umeliwa sasa mkuu fanya hivi nenda fb like page inayoitwa masai farming utapata tips zote kuhusu matikiti
 
Nuh ana account mpy kwa sasa
 
Walipokutana walikutangazia?

Unataka wakutangazie kwamba wameachana ili iweje?

Hivi huna cha kufanya, kazi yako ni kufuatilia ya wengine?

Fimbo ya kuazima haimsitiri mtu jua. Acha UMBEA! Fanya yako!
 
Teenagers 17 -19 na age ya 20-29 huwa wanasimamia show sana kwa sababu wanakuwa na ululu wa ndizi mwingi,akimkamata Demu aliyozoea kugongwa na mijitu ya >35 yenye colestol mwili mzima basi Demu lazima adate,ndio maana shishi yeye na vingorongoro tu.
Na wanavyojua kusimamia ukucha hatareeee
 
Walipokutana walikutangazia?

Unataka wakutangazie kwamba wameachana ili iweje?

Hivi huna cha kufanya, kazi yako ni kufuatilia ya wengine?

Fimbo ya kuazima haimsitiri mtu jua. Acha UMBEA! Fanya yako!
We mwenyewe mmbea kama sisi, huku umekuja kufanya nini?
Huna kazi ya kufanya?
Wangetaka ishu personal wangemalizana chumbani....ila kwa kuwa wameweka public, acha tuwajadili.
Kakojoe ukalale ila usinye kitandani....
Ukini-quote au kuni-tag or ukini-mention narudi.
 
Vijana wa kiume siku hizi wanapenda kuamkiwa!sasa ukimkuta na dida nawe umri haujaenda utapagua shikamoo?
 
Get well soon ulete ubuyu, dida bana eeh ila ndo hivo ndoa ya kumi yaja ha ha ha
 
Hii mimba ya huyo binti imezua mambo kwa kweli.

Mara ipo....mara inapotea...hujakaa sawa imerudi tena....umejisahau kidogo unasikia imetoweka tena!

Ni mimba ya kipekee sana hiyo.
Hahahahahha uuuwi
 
Hahahahahha uuuwi

Siku ya wapendanao imekuja na kwenda zake.

Sasa sijui wiki hii kutakuwa na lipi....itakuwa imetoka...au itarudi?

Wataongezeka mapacha au mapacha watatu?

Au tutaonyeshwa picha za ultrasound?

Au mimba itakuwa ya Petit Man na siyo Idrisa?

Au labda si ya Petit Man wala Idrisa....bali ni ya mlinzi?

Yetu macho na masikio.
 
Pole mamii
Malaria haikubaliki.
Maskini, vijana wadogo wanapenda miteremko.
 
Yani Dida kajaa kama Kiboko, haya matumizi mabaya ya rasilimali.Tz ukifanikiwa lazima unenepe, sijui gym huwa hawazioni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…