Ni kweli Idris na Wema Sepetu wameachana?

Drama zilinipitiaga mbali sana. Nashkuru kwa ilo.
 
Hahahahaaa umenikumbusha malkia wa Insta na msura wake...lol
Haha hizi fake id mitandaoni zinaficha mengi sana,eti Malkia wa Insta mie nikajua bonge moja la mdada,kuja kuona sura inajaa kwenye screen,na kimkorogo kimedunda mweusi si mweusi mwekundu si mwekundu haeleweki...ngachoka
 
Idris ananini so special kwani?? Wa kawaida sana Yule dogo basi tu... Sema tu si vema kuanika mambo yako Ndio somo tunalopata Ktk kisa hiki cha Wema. Yeye abebe mimba Kimya Kimya atuletee mtoto.. Story awaachie na kujionyesha awaachie wale madogo wa xxL.
 
shemeji yao kasepa kufumania kubaya sana tena mchana shikamoo petit unajibunyulia madame bila jasho wenzio hadi wahonge ili demu la masela kinazi
 
Najikuta tu nawasikikiza jamaa zangu wawili mandojo na domo kaya na wimbo wao "nikupe nini" mstari unaonikuna ni pale wanapoimba
"Mwezi wa kumi wa kumi na moja huo kwenye kona wa kumi na mbili umetinga mwanangu wadai huna mimba si nikastuka nikikuwa nahudumia tambala"
 
Nadhani kutojiamini akijitwika kimyakimya watu watasema kkwepua
Nadhani kutojiamini akijitwika kimyakimya watu watasema kamkwepua muhimbili ndo maana anaifanyia promo.
 
Hahaha wenzenu wana bonge la appearance wiki hii. Hii yote kujaza mashabiki tu. Sikiliza matangazo clouds. Hahaahahahha
 
Kanikamulie maji ya machungwa na kiu komaaa
 
Tangazo hilo kazi kwenu wavimba macho
 

Attachments

  • 1455396648742.jpg
    58.2 KB · Views: 23
Rangi nyeusi ktk identity yake IG inaonyesha hata Kijacho ni Giza tupu,Bado hajajua ni cha nani
 
Hii mimba ya huyo binti imezua mambo kwa kweli.

Mara ipo....mara inapotea...hujakaa sawa imerudi tena....umejisahau kidogo unasikia imetoweka tena!

Ni mimba ya kipekee sana hiyo.
Hahahaha we noma
 
Ndio maana petit yupo radhi kutelekeza familia ilmradi asiache kuwa karibu na wema, ila petit nae ana moyo wa Chuma hata kama ni penzi la wizi yani watu wanamgonga gonga wema nae anajua afu anagonga pia mmmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…