Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Ndugu habari za muda huu, naomba kuuliza kwa wadau mbali mbali na hata serikalini kama inawezekana tupewe majibu kabla sijatoa ya moyoni.
Kuna tetesi huko huko duniani nazisikia naomba uthibisho wake maana kuuliza si ujinga.
Pia soma: Wafahamu Wagombea wa Uenyekiti Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Kikwete imekuaje tena? Ameliwa kichwa?
Je, ni kweli mswahili wa msoga aliyepata kuwa Rais wa Tanzania kwa miaka 10, mwenye mtoto Naibu waziri na mke mbunge anagombea uenyekiti wa kamisheni ya umoja wa Afrika?
Nimeuliza kwanza kabla ya kutoa maoni ili tumtendee haki.
Ahsanteni.