Kama kikwete akipita!Acheni Kumbania Odinga. Hamtosheki?
Kwani akigombea anavunja kifungu gani cha sheria?Hivi kuna binadamu hawatosgeki ? Ana shida gani ? Kuna shida mahali....maana hata mke hamna kitu kichwani amelazimisha ubunge khsaa mtoto kilaza wa karne....lakini fitna na shirkii
Mkuu hii nimeuliza kwanza tusihukumu... tupate tu majibu.Hivi kuna binadamu hawatosgeki ? Ana shida gani ? Kuna shida mahali....maana hata mke hamna kitu kichwani amelazimisha ubunge khsaa mtoto kilaza wa karne....lakini fitna na shirkii
Mkuu hii nimeuliza kwanza tusihukumu... tupate tu majibu.Hivi kuna binadamu hawatosgeki ? Ana shida gani ? Kuna shida mahali....maana hata mke hamna kitu kichwani amelazimisha ubunge khsaa mtoto kilaza wa karne....lakini fitna na shirkii
Na weqe buku 7 kaziniiiKwani akigombea anavunja kifungu gani cha sheria?
Raila umempitisha na Nani?Tumeshampitisha Raila Odinga.
binafsi sina hakika kuhusu JK.Ndugu habari za muda huu, naomba kuuliza kwa wadau mbali mbali na hata serikalini kama inawezekana tupewe majibu kabla sijatoa ya moyoni...
Kuna tetesi huko huko duniani nazisikia naomba uthibisho wake maana kuuliza si ujinga.....
Je, Ni kweli mswahili wa msoga aliyepata kuwa Rais wa Tanzania kwa miaka 10, mwenye mtoto Naibu waziri na mke mbunge anagombea uenyekiti wa kamisheni ya umoja wa Afrika?
Nimeuliza kwanza kabla ya kutoa maoni ili tumtendee haki.
Ahsanteni.
Miongoni mwa wanaotajwa ni Raila na JK. Media za Kenya zinampambanisha Raila na JK ndo nauliza hii ni kweli jamaa anagombea?binafsi sina hakika kuhusu JK.
but kiongozi wa upinzani kenya Raila Amolo Odinga imethibitika anamezea mate kurithi mikoba ya Fakii Mwenyekiti wa commission anaemaliza Muda wake π
sina hakika ngoja ni chungulie huko ndraaaaaani kwanzaMiongoni mwa wanaotajwa ni Raila na JK. Media za Kenya zinampambanisha Raila na JK ndo nauliza hii ni kweli jamaa anagombea?
Wanaenda Kigali kufanya Nini? Acheni wivu wa kijinga. Kama mnapambana na waasi pambaneni nao wakiwa Congo. Mnahangaika na Rwanda ya Nini?. Kwenu Kuna shida ya sukari, Deni la nje limeongezeka, umeme shida, bima ya afya hospitali hazijalipwa etc. Ila unahangaika na kuovamia Rwanda ili update Nini?.Kama kikwete akipita!
Operation ya pale kongo itafana sana,nadhani umenielewa mjomba!!
Kitanukishwa hadi kigali Kwa moyo!!