lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Hata kwa makusanyo hayahaya ya Kodi inayokusanywa mwaka huuhuu wa 2020. Serikali ya Lissu inaweza kuwalipa vizuri watumishi,wastaafu na hata mikopo yenye riba nafuu kwa wanafunzi na kuwapunguzia mizigo ya ada wazazi.
ITAWEZAJE
Serikali ya Lissu haitakua na matumizi ya hovyo,ya kijinga na yasiyokua na manufaa kwa taifa.Hivyo itakua na akiba ya kutosha kutekeleza ahadi hii ya Mishahara na stahiki za wafanyakazi.
Matumizi ya hovyo na ya kijinga yaliyofanywana serikali inayomaliza Muda wake ambayo yameliingizia Taifa hasara, Serikali ya Lissu haitayafanya Ni:
_Kutonunua wapinzani
_Kutokufanya Uchaguzi wa marudio kwenye majimbo amabyo Mbunge ama Diwani akijivua ubunge kwa hiari yake.
_kutokugawa fedha mabarabarani hovyo.
_kupunguza idadi ya misafara ya magari kwenye misafara ya VIONGOZi.
_kutokuruhusu ufisadi wa watu Kama Ndugai kutibiwa nje kwa mamilioni ya fedha.
_kutokununua vitu Kama ndege kwa cash.sheria ya PPRA ya manunuzi itazingatiwa.
Mengine nikikumbuka nitawaletea. Nina uhakika kabisa Serikali ya Lissu itaheshimu sheria za matumizi ya fedha za Umma kupitia Bunge.