Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumefikia hapa.mefikia apa
Hahaha Chandimu bwana, kweli wakurupukajiHata kwa makusanyo hayahaya ya Kodi inayokusanywa mwaka huuhuu wa 2020.
Serikali ya Lissu inaweza kuwalipa vizuri watumishi,wastaafu na hata mikopo yenye riba nafuu kwa wanafunzi na kuwapunguzia mizigo ya ada wazazi.
ITAWEZAJE
Serikali ya Lissu haitakua na matumizi ya hovyo,ya kijinga na yasiyokua na manufaa kwa taifa.Hivyo itakua na akiba ya kutosha kutekeleza ahadi hii ya Mishahara na stahiki za wafanyakazi.
Matumizi ya hovyo na ya kijinga yaliyofanywana serikali inayomaliza Muda wake ambayo yameliingizia Taifa hasara, Serikali ya Lissu haitayafanya Ni:
_Kutonunua wapinzani
_Kutokufanya Uchaguzi wa marudio kwenye majimbo amabyo Mbunge ama Diwani akijivua ubunge kwa hiari yake.
_kutokugawa fedha mabarabarani hovyo.
_kupunguza idadi ya misafara ya magari kwenye misafara ya VIONGOZi.
_kutokuruhusu ufisadi wa watu Kama Ndugai kutibiwa nje kwa mamilioni ya fedha.
_kutokununua vitu Kama ndege kwa cash.sheria ya PPRA ya manunuzi itazingatiwa.
Mengine nikikumbuka nitawaletea.
Nina uhakika kabisa Serikali ya Lissu itaheshimu sheria za matumizi ya fedha za Umma kupitia Bunge.
Wanakula tu kina mbowe
Picha na video ni vitu viwili tofauti kabisa katika kutuma ujumbeZa kuambiwa changanya na zako! Mbona kuna mapicha mengi tu hapa jamvini kuonyesha nyomi ya Tanganyika Packers jana!? Fanya utafiti kabla ya KUKURUPUKA Mkuu.
Picha na video ni vitu viwili tofauti kabisa katika kutuma ujumbe
Wenye akili finyu zaidi ndio huamini picha yoyote wanayoletewa bila kujali projection ya picha hiyo, yaani bila kuangalia kama ni orthographic projection au ni perspective projection!Kwa mwenye UFINYU wa akili tu ndiye anaweza kuamini kwamba kinachoonyeshwa kwenye picha ni tofauti na kinachoonyeshwa kwenye video.
Wenye akili finyu zaidi ndio huamini picha yoyote wanayoletewa bila kujali projection ya picha hiyo, yaani bila kuangalia kama ni orthographic projection au ni perspective projection!
Mmmmmmm kwani Lisu mwenyewe hakutibiwa kwa mamilioni nje ya Nchi ? Kenya na ubelgiji? Kwa Nini hakutibiwa nchini?
Kwani hakufisadi? Kenya aliongozana na Mbowe ,Msigwa na Godbless Lema,mkewe na dereva waliokuwa wakila pesa za miposho kibao kwa miezi kibao Hadi miaka kwa mkewe na dereva Wakati wao sio madaktari Wala manesi kwa kile kinachoitwa kuuguza Lisu.
Mbowe ,Lema na Msigwa ,mkewe na dereva walikuwa wakiuguza Nini Wakati sio madaktari Wala manesi pale Nairobi na ubelgiji?
Kweli nyani haoni ......
Sema kiukweli waliobaki chadema sasa hivi ni watupu sana. Ukirudia kusoma hizi hoja zako hujishangai?-Kutojenga uwanja wa ndege Singida
-Kutonunua ndege nyingine sababu hata hizi zilizopo hazina tija
-Kutovunja mikataba ya kimataifa bila kufuata sheria ili tusiendelee lipa mamilioni ya dola kwenye mahakama za arbitration
-Kutotoa maamuzi ya kukurupuka ya kuwezesha jeshi kifedha ili lisombe korosho kisha zikaoza
-Kusupport private sector badala ya kuiua ili vijana wapate ajira na serikali ikapata kodi kupitia direct tax kama PAYE na indirect tax kama corporation tax
Umevuta bangi ya wapi leoDah... Bro uko siriaz kweli? Nina uhakika hata Lisu akipita hapa atakukana [emoji2960]
Umekengeuka wewe si bure hadi kwenda kumuunga huyo anayejiita KICHAA ambaye anaongea kauli za kidikteta na za kuwadhalilisha akina mama. Pole zako nyingi.
Mlitaka afe?
Kupona kwa jamaa kumewaumbua sana.
Vipi; umesahau kunywa dawa zako leo asubuhi!
Mimi sikujui wala simjui mtu yeyeote hapa JF pamoja na kuwepo muda mwingi sana na wala sina haja ya kumjua mtu yeyote hapa, ila unapoleta michango isiyoendana na mada, ni wazi kuwa kuna tatizo fulani limeibuka kichwani mwako ambalo linaweza kuwa limesababishwa na imbalance fulani. Mojawapo ya sababu za imbalances ni kama nilivyosema hapo.Acha kujibaraguza kama vile unanifahamu! Mimi na MAZWAZWA yanayomuunga mkono huyo anayejiita KICHAA wapi na wapi? 😳😳
Wewe au hilo genge lenu la kigaidi mlichangia hata senti tano? Mbona unalinganisha ardhi na mbingu?Mmmmmmm kwani Lisu mwenyewe hakutibiwa kwa mamilioni nje ya Nchi ? Kenya na ubelgiji? Kwa Nini hakutibiwa nchini?
Kwani hakufisadi? Kenya aliongozana na Mbowe ,Msigwa na Godbless Lema,mkewe na dereva waliokuwa wakila pesa za miposho kibao kwa miezi kibao Hadi miaka kwa mkewe na dereva Wakati wao sio madaktari Wala manesi kwa kile kinachoitwa kuuguza Lisu.
Mbowe ,Lema na Msigwa ,mkewe na dereva walikuwa wakiuguza Nini Wakati sio madaktari Wala manesi pale Nairobi na ubelgiji?
Kweli nyani haoni ......