Uchaguzi 2020 Ni kweli kabisa Serikali ya Lissu inaweza kuwalipa wafanyakazi stahiki zao na mishahara minono

Uchaguzi 2020 Ni kweli kabisa Serikali ya Lissu inaweza kuwalipa wafanyakazi stahiki zao na mishahara minono

uchumi upi? Huu uchumi uliokwisha anguka tangu 2016?

Anakuja kuua tu uchumi. Kwanza jamaa anaonekana kana anaweza kuturudisha enzi za kutembeza bakuli kaana anaamini kwenye ubeberu balaa baba huyu
 
Mmmmmmm kwani Lisu mwenyewe hakutibiwa kwa mamilioni nje ya Nchi ? Kenya na ubelgiji? Kwa Nini hakutibiwa nchini?

Kwani hakufisadi? Kenya aliongozana na Mbowe ,Msigwa na Godbless Lema,mkewe na dereva waliokuwa wakila pesa za miposho kibao kwa miezi kibao Hadi miaka kwa mkewe na dereva Wakati wao sio madaktari Wala manesi kwa kile kinachoitwa kuuguza Lisu.

Mbowe ,Lema na Msigwa ,mkewe na dereva walikuwa wakiuguza Nini Wakati sio madaktari Wala manesi pale Nairobi na ubelgiji?

Kweli nyani haoni ......
Mlitaka afe?
Kupona kwa jamaa kumewaumbua sana.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Inatosha kwa uelewa wako, unawakilisha kundi la mbumbumbu wa chadema
Hakuna kundi la mbumbu wewe ndo mbumbu na hujui Nani anatuambia pesa za nchi na Nani anachamgiwa na wenye mapemzi Mena .shida yako wewe ni kwa sababu pia Ni mpigaji ndani ya system but mind you time will tell.Hakika haya yote yatapita ila neno la Mungu litabaki Kama lilivyo.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Dogo, hata picha unaweka propaganda? Unaokoteza picha ya wapita njia sita huko mbali unaunganisha na sauti?!
Dah! siyo yangu bali mimi nimeshea tu. Najua kuwa hiyo ni video iliyopigwa laivu kabisa.
 
chama chenyewe kimeshindwa kuweka bajeti ya kujenga ofisi 😂 😂 😂 😂 , mwenye kiti mwenyewe kapiga b8 za chama , sasa sjui mnaongelea nchi gan
 
chama chenyewe kimeshindwa kuweka bajeti ya kujenga ofisi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , mwenye kiti mwenyewe kapiga b8 za chama , sasa sjui mnaongelea nchi gan
Hodiiiii.
JamiiForums-561822830_720x720.jpg
 
Makusanyo haya ya kodi hayatakuwepo maana kasema atafuta kodi, atazitoa wapi hizo pesa? ATATUUZA.
 
Back
Top Bottom