Uchaguzi 2020 Ni kweli kabisa Serikali ya Lissu inaweza kuwalipa wafanyakazi stahiki zao na mishahara minono

Kuna mambo mengine pia ambayo ni muhimu yakifanyika ukiachana na kulipana mishahara mikubwa.
 
Hahaha Chandimu bwana, kweli wakurupukaji
 
Tusimfungie mlango huyu Lissu,tutamsikiliza lakini Kura yetu hapati kamwe
 
Za kuambiwa changanya na zako! Mbona kuna mapicha mengi tu hapa jamvini kuonyesha nyomi ya Tanganyika Packers jana!? Fanya utafiti kabla ya KUKURUPUKA Mkuu.
Picha na video ni vitu viwili tofauti kabisa katika kutuma ujumbe
 
Kwa mwenye UFINYU wa akili tu ndiye anaweza kuamini kwamba kinachoonyeshwa kwenye picha ni tofauti na kinachoonyeshwa kwenye video.

Picha na video ni vitu viwili tofauti kabisa katika kutuma ujumbe
 
Kwa mwenye UFINYU wa akili tu ndiye anaweza kuamini kwamba kinachoonyeshwa kwenye picha ni tofauti na kinachoonyeshwa kwenye video.
Wenye akili finyu zaidi ndio huamini picha yoyote wanayoletewa bila kujali projection ya picha hiyo, yaani bila kuangalia kama ni orthographic projection au ni perspective projection!
 
Umekengeuka wewe si bure hadi kwenda kumuunga huyo anayejiita KICHAA ambaye anaongea kauli za kidikteta na za kuwadhalilisha akina mama. Pole zako nyingi.

Wenye akili finyu zaidi ndio huamini picha yoyote wanayoletewa bila kujali projection ya picha hiyo, yaani bila kuangalia kama ni orthographic projection au ni perspective projection!
 
Nadhan ulitaka yatokee yale uliyoyataman pole sana, hii dawa ni chungu bt kuinywa n lazma
 
Sema kiukweli waliobaki chadema sasa hivi ni watupu sana. Ukirudia kusoma hizi hoja zako hujishangai?
Embu wapigieni magoti Yericko Nyerere na Malisa maana ninyi wengine mnahaibisha chama
 
Umekengeuka wewe si bure hadi kwenda kumuunga huyo anayejiita KICHAA ambaye anaongea kauli za kidikteta na za kuwadhalilisha akina mama. Pole zako nyingi.

Vipi; umesahau kunywa dawa zako leo asubuhi!
 
Acha kujibaraguza kama vile unanifahamu! Mimi na MAZWAZWA yanayomuunga mkono huyo anayejiita KICHAA wapi na wapi? 😳😳

Vipi; umesahau kunywa dawa zako leo asubuhi!
 
Acha kujibaraguza kama vile unanifahamu! Mimi na MAZWAZWA yanayomuunga mkono huyo anayejiita KICHAA wapi na wapi? 😳😳
Mimi sikujui wala simjui mtu yeyeote hapa JF pamoja na kuwepo muda mwingi sana na wala sina haja ya kumjua mtu yeyote hapa, ila unapoleta michango isiyoendana na mada, ni wazi kuwa kuna tatizo fulani limeibuka kichwani mwako ambalo linaweza kuwa limesababishwa na imbalance fulani. Mojawapo ya sababu za imbalances ni kama nilivyosema hapo.
 
Wewe au hilo genge lenu la kigaidi mlichangia hata senti tano? Mbona unalinganisha ardhi na mbingu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…