Uchaguzi 2020 Ni kweli kabisa Serikali ya Lissu inaweza kuwalipa wafanyakazi stahiki zao na mishahara minono

Sasa kama hunijui kwanini za uandike UZUSHI!? 😳😳😳

Mada ipi unayoizungumzia hapa? Ya wewe kuandika uongo kwamba kule Tanganyika Packers jana hakukuwa na umati wa watu kisha kuweka picha yako FAKE!? 😳😳😳

Mtu mzima HOVYOOOOO!

 
Mimi sikukuandikia wewe, bali ni wewe ulinidakia kwa mapovu mengi sana. Niliweka reflection ya mkutanowa Lissu kawe kama ulivyorekodiwa independently na mhudhuriaji mmoja. Ni vizuri sana kuwa makini na jinsi tunevyorespond dhidi ya opinion zisizotufurahisah kuliko kupayuka tu.
 
Kwa UZWAZWA WAKO unadhani ni mapovu. UNAKURUPUKA na kuweka FAKE PIC ya tukio la jana bila kufanya utafiti wa kina na kutaka watu hapa jamvini waamini upuuzi wako!? Acha KUKURUPUKA na picha FAKE za KUOKOTEZA ambazo hazina ukweli wowote vinginevyo UTADHARAULIKA. Hivi ungepoteza kitu gani kabla ya kupost hiyo picha yako FAKE kufanya utafiti kama ni ya kweli au la!?


 
Kweli hujitambui, wewe umekuwa msemaji wa serikali hewa ya Lisu? Je, CDM ina uzoefu gani na uendeshaji wa nchi? Chama kilichoshindwa kuendesha ufipa kitawezeje kufanya hayo?
 
Wewe unapashwa kwanza ulaumu serikali iliyopanga njama kumuua moja wa raia wake wakati jukumu lake kuu ni kulinda watu na mali zao.
Tuanzie hapo kwanza ili tusiwe wanafiki.
 
Tulimchangia.

Sisi wanachi sio ndungai aliyechota pesa za umma.

Na ufisadi juu.
 
Tumeona Mara nyingi kuwa familia yoyote inayojifanya kula vizuri na kutaka ufahari wakati hicho kipato chake kinatokana na mshahara wa kila mwezi uishia kupanga mpaka anastaafu,aliyekuambia mishahara huwa inatosha ni nani ukitaka kuishi kwa raha jengo miundombinu wezeshi kwako itakayopunguza gharama za maisha,ukijenga nyumba itapunguza kodi ,hivyo anayofanya magufuri kwa sasa kuna gharama ameipunguza,bwawa litapunguza gharama ya umeme,flyover umepunguza foleni,barabara inapunguza muda,elimu bile inaongeza idadi ya wanafunzi,nk.
 
Kujadili serikali ya lissu ni kupoteza muda. Hakuna serikali itakayoundwa na lissu katika Tanzania hii.
 
Serikali ya Lissu itaendeleza au kuitelekeza hii miradi ya hii awamu? maana...
 
Sijui unaumia nini hadi kuropoka lugha za kijinga namna hii; hiyo siyo video fake ni ya mtu aliyepiga kwa simu akiwa ni kati ya waliohudhuruia akiwa nyuma kabisa; na unaona alikuwa anatembea pale uwanjani na kivuli chake kinaonekana wazi kabisa. Kama unaweza kusoma properties za video angalia time stamp yake kama kweli haikupigwa wakati wa mkutano huo. Hata sauti za upepo zinasikikika waziwazi. Kama wewe ulikuwa jukwaani unaangalia watu aliozunguka jukwaa basi huyo kakuonyeasha kilichokuwa huko nyuma
 
1. Barabara
2. Elimu bure
3. Vituo vya Afya
4. Madaraja
5. Ndege
6. Airports
7. Flyovers
8. SGR
9. Stieglers HP
10. Udahili+
11. Techno Tiba
12. Vitambulisho vya Wamachinga
13.......

Ni mengi zaidi hivyo nimekutajia machache kwa ujumla...

Lisu hajui na hana uwezo wa kutimiza robo ya hayo. Unachokifanya ni kudanganyaa umma tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…