Ni kweli kuhusu utajiri wa Rais?

Kwa nchi za Afrika mbona hiyo ndogo sana,hiyo anaweza kumiliki mmoja wa watoto wake tu.
Watawala wa Kiafrika ni majitu ya ovyo sana yana tamaa na ulafi uliyopitiliza linaiba na lenyewe likifa hela zinapigwa huko alikozihifadhi kama Mobutu.
 
Kwa pigo zake hiyo mbona ni cha mtoto kabisa. B40 mbona hata mamishen Town tu wanazo
Hapana, mamishen town na viongozi wa umma tena?

Labda useme kuna pesa ambazo ni ndogo kwa ufisadi.😀

Na hapo ndo mwanzo wa mentality mbaya ambayo imejikita kwenye taifa.

Ukishakubali ndogo huwezi kuzuia kubwa…

Ina maana kamba yake inatakiwa iwe ndefu zaidi hii fupi sana.
 
Nimekutana na hii video clip somewhere. Not sure about its contents. Kwamba rais ana utajiri wa $15M, karibia TZS 40B kama sikosei.
Siyo kweli. Hii clip ni ya UWONGO tu kumchafua Rais Samia.

Hiyo nyumba iko Los Angeles USA na ni mali ya Robbie Williams.


Na hiyo sehemu ya sebule ni picha ya mtu mwingine DJ Khaled.

 
Umeandika upuuzi mtupu, kama wewe mpo wengi sana mitaani mnatawaliwa na ubaguzi na chuki.
 
Nimekutana na hii video clip somewhere. Not sure about its contents. Kwamba rais ana utajiri wa $15M, karibia TZS 40B kama sikosei.
Itakua kweli. Huyu mama kwenye siasa ni mtafutaji tu sio kwa utumishi kwa umma. Ndio maana hata alipotaka kuingia siasa hakujua aingie chama gani ila alijua anataka ulaji. Ona mikataba anayotuingiza. Kama sio mzalendo kurusha mtandaoni ile concession na dubai angetoa bandari zetu zote kuwapa dubai. Na sio bure kwake binafsi.
 
Nimekutana na hii video clip somewhere. Not sure about its contents. Kwamba rais ana utajiri wa $15M, karibia TZS 40B kama sikosei.

Kwa kifupi SSH anaweza kuchukua kiasi chochote anachotaka. Hata nusu ya bajeti ya Taifa. Hakuna wa kumfanya chochote au kumuwajibisha.

Wanaopiga kelele ni wachache Lissu, Mpina, Slaa, Mwabukusi wengine wote wako kimya hawako really serious.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…