Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 17,572
- 27,416
Kuna nguvu inayotumika kwa gharama na kodi zetu kwa so called wahuni; ingawa nadhani huenda wahuni halisi wala hatuwagusi, nadhani busara ni kusikiliza hawa so called wahuni hoja zao kama zina mashiko, ukizingatia wahuni hao tunasema wengine wapo nje na wengine tayari wapo gerezani, lakini kilichotokea cha mauaji hatujashika waliosababisha hayo mauaji, wala hatuonyeshi nia ya kupambana na mafisadi ambao huenda ndio wanaleta hasira mtaani.
Na je wale waliofanya mauaji au kusabisha hizi grudges in the first place tunawaweka kundi gani ? Na wale wanaodhani hii haitoshi tuanze kugawa hawa ndugu kwa udini ?
Narudia kusema sidhani kama tumeshaanza hata kushughulikia tatizo zaidi ya kulipalilia ili kesho au keshokutwa litusumbue tena
- Je wanaosema kuna utekaji na mambo yapo ndivyo sivyo ni wahuni ?
- Je wanaotaka kuonyesha grudges zao kwa kutumia njia za Kikatiba kuandamana ni wahuni ?
- Je wale wasanii ambao tuna-boycot kazi zao waendelee kuwa ombaomba ni wahuni au nao ni victims wa mfumo wa kihuni ?