Ni kweli kuna wakati kulikuwa na wachuna ngozi za binadamu nchi hii?

Ni kweli kuna wakati kulikuwa na wachuna ngozi za binadamu nchi hii?

Ninaamini kuwa walikuwepo na bado wapo ingawa wazee walikuwa wakiongeza chumvi ili tuishi kwa tahadhari! Ukicheza sana usifike mbali!
 
Muhammad mwenyewe hakuwa dhehebu lolote.
Hata Mimi Sina DHEHEBU.kwenye uislam Mimi ni muislam.hao wanaopingana Wana yao
Hata kuandika jina la nabii wako mbora bila kumswalia ukaliandika kana kwamba ni Mohamad muuza mitumba pia umedhihirisha jina lako. Allah mtukufu akuongoze kwalo.
Iko hivi....
Hayo madhehebu aliyataja Mtume Muhammad Sala na salaam ziwe juu yake na ni kitu ambacho hakiepukiki ktk umma na kilichokuwa bora kwako ni kuitafuta haki na uifate..
 
Uko sahihi mwaka 2015 nilimtembelea best friend pande zile na ilikuwa Vvawa makao makuu ya mkoa wa songwe nilioneshwa hadi sehemu ambazo miili iliokotwa Yaaani hadi mwili ulisisimka
Mimimwenyewe nikiwa kazini kwenye minara ya simu pale Itaka, Mbozi, niliambiwa na mlinzi wa pale mnarani kuwa ikitokea nimeharibikiwa na gari njiani, nihakikishe silali ndani ya gari. Yaani ni bora ukalale hata juu ya mti kuliko ndani ya gari. Wachunaji wanaweza wakakufuata humo ndani ya gari.
 
Kama ulikuwa mdogo sawa.
Ila ni kweli.kipindi kile ITV taarifa ya habari walikuwa wanaonesha LIVE LIVE MTU KAVULIWA NGOZI.
na kipindi kile hata ajali walikuwa wanaonesha watu jinsi walivyovunjika vunjika
Ilikua miaka gani ITV walikua wanafanya live coverage?
 
Mnamo mwaka 1989 mpakani mwa Zambia na Tanzania mbeya, tunduma ukatili huo ulifanyika kwa kimya kimya na baadae mnamo mwaka 1991 ikawa imeenea mbeya kote mpaka kufikia usawa wa njombe kuelekea iringa mopakani.

Zile ni zama katili Sana watoto umri miaka 3 - 12 walikuwa wanatekwa na kuchunwa ngozi kwa maumivu Sana ni kifo kibaya mno, wakati mwingine watoto miaka 13 - 19 walikuwa wanatekwa na kuchunwa ngozi, lakini ni wachache kulinganisha na watoto wadogo chini ya umri huo.
 
Hiyo ngozi ya binadamu inasemwa walikuwa wanaipeleka wapi na kufanyia nini? Au ni maswala ya ushirikina?
 
Nilipikuwa nasoma shule ya msingi chimala haya matukio
Yalikuwa yanatokea sana kuchunana ngozi,hao wachunaji
Walikuwa maarufu kwa jina la nyambuda

Ova
Hao Nyambuda hiyo ngozi walikuwa wanaipeleka wapi na kufanyia nini?
 
Kipenzi chetu Imam Hussein aliuwawa kikatili sana Karbala ili kulinda na kuutetea uislamu. Nasi Allah katupa Tawfiq. Lakini cha kuhuzunisha Sunni hawamuenzi Imam wetu wanamdhihaki kumtukana nakutudhihaki.

Allah mwenyez Mungu mwingi wa rehma ampe qaul thabeet kipenzi chetu Imam.
Hivi mtu anielezee huyu hussein ni nani
 
Ilikuwa miaka ya 70 nakumbuka sana kuna siku tulikuwa tumekaa darajani wakawa wanakuja jamaa wawili, mmoja wa tuliokuwa nae akasema mnachunwa ngozi daa tulitoka mbio breki ya kwanza home

Ila ukiangalia haya mambo yalikuwepo zamani sana kwa wazungu hata Harvard walitumia ngozi za binadamu kujaladia vitabu vyao FACT
Na vipo na ushuhuda upo kwao wazungu
Screenshot_20240726_101753_Google~2.png
 
Back
Top Bottom