Ni kweli kuna watu wanaroga ili mwenye nyumba asahau kumalizia ujenzi au kuhamia kwenye nyumba yake?

Ni kweli kuna watu wanaroga ili mwenye nyumba asahau kumalizia ujenzi au kuhamia kwenye nyumba yake?

Nimejarbu kwenda juzi tu usku nilikuwa nimekodi Bajaj ilikuwa samoja kule hakuna umeme ni porini kufika porini bajaji akagoma kuingia barabara za porini nikamwambia nakupa hela yoyote utakayotaka akasema moyo wake umesita basi tukarudi
 
Zaka ni malipo ya 10% Kutoka kwenye Pato alilokupa Mungu.

Sasa ukijenga nyumba bila kulipa zaka, u atafuta matatizo maana wapagani au washirikina hawajengi bila Kutoa sadaka Kwa miungu Yao, iweje mwana wa Mungu ujenge KICHWA KICHWA Kwa kukurupuka?
Hapo nimekuelewa mkuu
 
Mwanza niliwahi kuwepo baraza la ardhi nyumba na makazi nilikuwepo nje nikaonyeshwa mhaya 1 hatumii dawa ila ukorofi tu na kumzungusha mwenye nyumba mbaya zaidi katengeneza hadi documents za umiliki wa hiyo nyumba ambacho hakuwa nacho ni ile SEARCH tu ila mhaya nilimuinulia mikono. Kukaa miaka mitano kama mtunza nyumba keshatengezeza documents na barazani anahudhuria. wahaya 🙌

Jitahidi ukiwa na kiwanja kitembelee mara kwa mara kama huna mpango/hela za kukiendeleza. Kuna matajiri wakorofi wana hela hazina kazi huvamia na kuendeleza ndani ya mwezi 1 nyumba ishasimama na watumishi wa halmashauri ni washenzi wakipewa cho chote kitu hukupatia sehemu ambayo hukutarajia la sivyo mahakamini utahudhiria sana na hakuna kesi zinachukua muda kama kesi za nyumba ardhi na makazi.
 
Hivi ukimkabidhi mtu eneo akulindie inatakiwa muandikiShane? Ata kama document zote unazo wewe muhusika
 
sio kuhamia tu ukijngia tu unalo!

Sinza kumekucha kabla ya lion hotel upande wa kulia miaka ya 90 kulikuwa na nyumba 2 hawakai watu ilikuwa ukiingia katika nyumba zile unachapwa viboko na viumbe visivyoonekana!
Huyo mganga yupo wapi unipe Namba yake maana nina maeneo mawili nashindwa Ata kujenga mzee
 
sio kuhamia tu ukijngia tu unalo!

Sinza kumekucha kabla ya lion hotel upande wa kulia miaka ya 90 kulikuwa na nyumba 2 hawakai watu ilikuwa ukiingia katika nyumba zile unachapwa viboko na viumbe visivyoonekana!
Mkuu toa connection tulia kwanza nakuja pm ikiifunga nakuja hom kwako tuyajenge mana kujenga kazi sana nisije nikafa bila nyumba wakati wakutujengea wapo
 
Kuna mwamba namjua alipewa nyumba kubwa ya kisasa akae. Kwa muda now imepita miaka 18 bado yumo na mwenye nyumba yupo hata haulizii na jamaa kaamua mkupqngisha anakula kodi aseee hiyo dunia kupanga kupenda
 
Mkuu toa connection tulia kwanza nakuja pm ikiifunga nakuja hom kwako tuyajenge mana kujenga kazi sana nisije nikafa bila nyumba wakati wakutujengea wapo
Kwaiyo unataka ufanye dhuruma mkuu🤷🏽‍♂️🤣
 
🤪🤪
Hyo kitu ipo sana
  1. Kuna wapangaji
  2. Walinzi wa nyumba
Kuna mpangaji mmoja Kila nikienda kumdai Kodi naishia kujua Khali yake na kumuuliza changamoto za nyumba ananiambia wako fresh tu, ila nikitoka mguu hapo hasira za deni zinakuja alimaliza miezi 6 hata simuulizi habari ya Kodi🤪🤪 alikuja kufa kwa sababu ya kuvuta bangi+kubeli+ tambuu akawa hali chakula wakasafirisha kwao kigoma
 
Viwanja hii dhana haihusiki? Maana nina maeneo kila nikitaka kwenda naahirisha yaani sijisikii tu kwenda na sina sababu. Mbaya zaidi napita kwenda kwingine mbali zaidi. Na leo nimepita 😇😇
Wewe una tabia ya kughairisha mambo, fanya maamuzi kwamba wiki hii utakwenda, na uende.
 
Back
Top Bottom