Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo nimekuelewa mkuuZaka ni malipo ya 10% Kutoka kwenye Pato alilokupa Mungu.
Sasa ukijenga nyumba bila kulipa zaka, u atafuta matatizo maana wapagani au washirikina hawajengi bila Kutoa sadaka Kwa miungu Yao, iweje mwana wa Mungu ujenge KICHWA KICHWA Kwa kukurupuka?
Hapo nimekuelewa mkuu
Hivi ukimkabidhi mtu eneo akulindie inatakiwa muandikiShane? Ata kama document zote unazo wewe muhusikaMwanza niliwahi kuwepo baraza la ardhi nyumba na makazi nilikuwepo nje nikaonyeshwa mhaya 1 hatumii dawa ila ukorofi tu na kumzungusha mwenye nyumba mbaya zaidi katengeneza hadi documents za umiliki wa hiyo nyumba ambacho hakuwa nacho ni ile SEARCH tu ila mhaya nilimuinulia mikono. Kukaa miaka mitano kama mtunza nyumba keshatengezeza documents na barazani anahudhuria. wahaya 🙌
Jitahidi ukiwa na kiwanja kitembelee mara kwa mara kama huna mpango/hela za kukiendeleza. Kuna matajiri wakorofi wana hela hazina kazi huvamia na kuendeleza ndani ya mwezi 1 nyumba ishasimama na watumishi wa halmashauri ni washenzi wakipewa cho chote kitu hukupatia sehemu ambayo hukutarajia la sivyo mahakamini utahudhiria sana na hakuna kesi zinachukua muda kama kesi za nyumba ardhi na makazi.
sio kuhamia tu ukijngia tu unalo!Hii kali😂😂 kwahiyo ukihamia unakuwa msukule wao?
Huyo mganga yupo wapi unipe Namba yake maana nina maeneo mawili nashindwa Ata kujenga mzeesio kuhamia tu ukijngia tu unalo!
Sinza kumekucha kabla ya lion hotel upande wa kulia miaka ya 90 kulikuwa na nyumba 2 hawakai watu ilikuwa ukiingia katika nyumba zile unachapwa viboko na viumbe visivyoonekana!
Kuwa mkweli. Baba laki tano kwenye nyumba ya m34 mbona shwaaa kikubwa hata akiniona asinijueNjoo dm na laki 5 cash nikuunganishe chapu
Mkuu toa connection tulia kwanza nakuja pm ikiifunga nakuja hom kwako tuyajenge mana kujenga kazi sana nisije nikafa bila nyumba wakati wakutujengea waposio kuhamia tu ukijngia tu unalo!
Sinza kumekucha kabla ya lion hotel upande wa kulia miaka ya 90 kulikuwa na nyumba 2 hawakai watu ilikuwa ukiingia katika nyumba zile unachapwa viboko na viumbe visivyoonekana!
Mimi bora nimkodishe kodi kidogo huku mm nikijua nimeweka mlinzi mlipaji,na kodi inaweza panda kutokana na mfumuko wa bei!!Hasa watu wa kusini, hao ukiwapa kulinda nyumba yako utasahau hata ulipokuwa umejenga
Kwaiyo unataka ufanye dhuruma mkuu🤷🏽♂️🤣Mkuu toa connection tulia kwanza nakuja pm ikiifunga nakuja hom kwako tuyajenge mana kujenga kazi sana nisije nikafa bila nyumba wakati wakutujengea wapo
upo sahihi mkuu baba yangu ana shamba mapinga kesi ipo mahakamani mwaka wa kumi sasa
Sina hela ya kujengea ila si tulikubaliana mwenye nyumba kobe maana anatembea nayo sisi wengine wapitaji nyumba yetu ya mileleKwaiyo unataka ufanye dhuruma mkuu🤷🏽♂️🤣
Mtupe connection mbona mnaongea kwa mafumboSiwezi kusumbuka mahakamani miaka kumi watu kama nitawaapa adhabu kiasili zaidi
Unayemmudu usimuachie MunguMtupe connection mbona mnaongea kwa mafumbo
Kuna mpangaji mmoja Kila nikienda kumdai Kodi naishia kujua Khali yake na kumuuliza changamoto za nyumba ananiambia wako fresh tu, ila nikitoka mguu hapo hasira za deni zinakuja alimaliza miezi 6 hata simuulizi habari ya Kodi🤪🤪 alikuja kufa kwa sababu ya kuvuta bangi+kubeli+ tambuu akawa hali chakula wakasafirisha kwao kigomaHyo kitu ipo sana
- Kuna wapangaji
- Walinzi wa nyumba
Wewe una tabia ya kughairisha mambo, fanya maamuzi kwamba wiki hii utakwenda, na uende.Viwanja hii dhana haihusiki? Maana nina maeneo kila nikitaka kwenda naahirisha yaani sijisikii tu kwenda na sina sababu. Mbaya zaidi napita kwenda kwingine mbali zaidi. Na leo nimepita 😇😇
Ningekupa tafu ila ww unataka kudhulumu tatizo 🤣🤣😂😂😂🏃🏾♂️🏃🏾♂️Mtupe connection mbona mnaongea kwa mafumbo