kimara Kimara
Member
- Jul 7, 2024
- 80
- 173
Habarini Waungwana, kutokana na changamoto ya usafir, ivi Karibuni nilimshirikisha rafiki yangu kua nataka nijichange ninunue Pikipk used, TVS (angalau namba D). Yeye alishauri Bora ninunue MPYA.
Aliniambia Used sio Nzuri, zinaweza kua ma mabaa ama mikosi, Hujui kwanini ameiuza huenda imegonga au imepata ajali au imeua n.k..
kwahiyo ukinunua hiko chombohizo roho ama mablaa yanaweza kukukuta na wewe mfano ukapata ajali mbaya n.k
JE KUNA UKWELI KWENYE HILI, NIPENI MAONI YENU ...