Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitu chochote unachonunua kinaweza kuwa na madhara au kisiwe nayo.Habarini Waungwana, kutokana na changamoto ya usafir, ivi Karibuni nilimshirikisha rafiki yangu kua nataka nijichange ninunue Pikipk used, TVS (angalau namba D). Yeye alishauri Bora ninunue MPYA.
Aliniambia Used sio Nzuri, zinaweza kua ma mabaa ama mikosi, Hujui kwanini ameiuza huenda imegonga au imepata ajali au imeua n.k..
kwahiyo ukinunua hiko chombohizo roho ama mablaa yanaweza kukukuta na wewe mfano ukapata ajali mbaya n.k
JE KUNA UKWELI KWENYE HILI, NIPENI MAONI YENU ...View attachment 3217856
Unanunua Alphad kwa Brothermen Bishoo kwa jina la Chid, Mood, Ezo, Tin ambao wamegeuza Alphad Lodge ya kubinjuana....hapo dhahiri huepuki mikosi.Habarini Waungwana, kutokana na changamoto ya usafir, ivi Karibuni nilimshirikisha rafiki yangu kua nataka nijichange ninunue Pikipk used, TVS (angalau namba D). Yeye alishauri Bora ninunue MPYA.