kimara Kimara
Member
- Jul 7, 2024
- 80
- 173
Hapo shidaHabarini Waungwana, kutokana na changamoto ya usafir, ivi Karibuni nilimshirikisha rafiki yangu kua nataka nijichange ninunue Pikipk used, TVS (angalau namba D). Yeye alishauri Bora ninunue MPYA.
Aliniambia Used sio Nzuri, zinaweza kua ma mabaa ama mikosi, Hujui kwanini ameiuza huenda imegonga au imepata ajali au imeua n.k..
kwahiyo ukinunua hiko chombohizo roho ama mablaa yanaweza kukukuta na wewe mfano ukapata ajali mbaya n.k
JE KUNA UKWELI KWENYE HILI, NIPENI MAONI YENU ...
Sio kweli,shida itakuwa ni kama umenunua usafiri mbovu na uwezo wa matengenezo ni hafifu huku unalazimisha usafiri uwe kwa road.Habarini Waungwana, kutokana na changamoto ya usafir, ivi Karibuni nilimshirikisha rafiki yangu kua nataka nijichange ninunue Pikipk used, TVS (angalau namba D). Yeye alishauri Bora ninunue MPYA.
Aliniambia Used sio Nzuri, zinaweza kua ma mabaa ama mikosi, Hujui kwanini ameiuza huenda imegonga au imepata ajali au imeua n.k..
kwahiyo ukinunua hiko chombohizo roho ama mablaa yanaweza kukukuta na wewe mfano ukapata ajali mbaya n.k
JE KUNA UKWELI KWENYE HILI, NIPENI MAONI YENU ...
Kunywa bia nalipa kwa namba ya nida mkuuKama ina baraka na wewe utapata hizo baraka au mikosi tu ndo inaweza kuwa transmitted?
Wengine wanasema ukilala na watu unapata mikosi, huwezi pata utajiri ukilala na tajiri?
Mitanganyika inachagua what fits their notion tu.
Nami nitachangiaKunywa bia nalipa kwa namba ya nida mkuu
Mbona nchini vitu used kutoka nje vimejaa na hatuoni hiyo mikosi.Habarini Waungwana, kutokana na changamoto ya usafir, ivi Karibuni nilimshirikisha rafiki yangu kua nataka nijichange ninunue Pikipk used, TVS (angalau namba D). Yeye alishauri Bora ninunue MPYA.