Ni kweli kununua usafiri kwa mtu (used) kunaweza kuwa na mikosi ya kupata ajali?

Kama hauna D mbili huwezi kuelewa kama hili ni tangazo la kuuza pikipiki used
 
Sijui kwanini umaskini unaendana sana na imani za kishirikina.
 
Kwahio vitu vinavokua transmitted ni mikosi tu.. vp kuhusu baraka?
 
Kitu chochote unachonunua kinaweza kuwa na madhara au kisiwe nayo.
Ila nakushauri tu kwamba nunua huo usafiri na uuoshe Kwa KUOMBEWA, KUSOMEWA DUA AU NDUMBA kulingana na Imani Yako.
 
Unanunua Alphad kwa Brothermen Bishoo kwa jina la Chid, Mood, Ezo, Tin ambao wamegeuza Alphad Lodge ya kubinjuana....hapo dhahiri huepuki mikosi.

Although hata huko zinakuwa zimetumika na watu lkn kwa hakika wenzetu wana ustaraab huezi kuta wanafanya ufirauni ambao sisi tunafanya kwenye magar hata kwenye maisha yetu tu ya jumla!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…