Ni kweli kuto kusex miaka mitano kunarudisha bikra kwa mwanamke aliyezaa?

Its true wala si uongo, nashindwa ku settle coz siamini mwanamke pia ishu za kikanisa zinazingua so najikuta tuu na hangaika kiasi ambacho i wish nisingekua na hisia za mapenzi nitulie kabisaa, tatizo siwezi maliza wiki bila kudinya naskia msongo wa mawazo
Kuwa bize sana na kazi, akili mawazo weka huko.....au kazi nayo inazingua, pole best
 
Wasalaam madaktari na wahenga...

Ninaandika uzi huu nikiwa na maswali mengi yakinichanganya akili.

Nina mchumba wangu ni single mother pia amenizidi hadi umri.

Kwanza ameokoka na katika uchumba wetu, aligoma tusifanye mapenzi kabla ya ndoa otherwise hatutafikia hatua ya malengo yetu, nilitika kishingoupande ila sikukubali kwakua wanawake wa mjini ni janja janja saana. Niliendelea kumchombeza mwishoe akajaa akahitaji tu sex.

Alinipa taadhari kwamba ni miaka mitatu hajafanya mapenzi hivo anahisi atakua kama bikra. Nilifurahi kusikia hivo.

Basi siku tunakutana sikuamini alijifanya kuhangaika na kuomba atandike kitenge chake ili asijechafua shuka la hotel, nilianza kuona vitu vya ajibu kama discharge zenye u kijani nikasema ngoja ni stop nijifute, kuja kufuta zikabadilika rangi na kua nyekundu mithili ya damu, kumcheki na yeye kwenye uke kuna damu? Kumuuliza anasema anashangaa hata yeye hajui pengine ni bikra ivo nimemtoa bikra upyaa.🙄🙄🙄

Akaniambia amekua akiskia maumivu nilipokua na muingilia kwakua ni mda mrefu, hata ivo amekua mtu wa maombi saana kiasi ya kwamba mtumishi wake alimwambia anaweza rudisha bikra yake atakama alisha zaa.

Kifupi damu zilitoka nyingi hadi kero lakini chaajabu sijaona ugumu katika kumwingilia, yaani nikama nilikua nafanya mapenzi na mwanamke mzoefu... nikabaki najiuliza je ni bikra fake (maana naskia zipo) au ni mgonjwa??

MADAKTAR mnisaidie sio mgonjwa kweli?? Na ka mgonjwa atakua anaumwa nn?? Na je hajaniambukiza?

Na nikweli bikra ya nyuzi inaweza kurudi ndani ya miezi mitatu?

Makungwi pia nisaidieni hapo?

kuhusu period hakua tarehe za period

natanguliza shukrani🙏
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hakuna bikra hapo, huyo mgonjwa tu, kakuona wewe kubwa jinga anakuingiza mkenge.
 
Daamn camoon nigga.... what's wrong with you, don't hold your brain on lower head 🤣
 
UVCCM wa mradi wa kilimo BBT mmekosa kazi ndio mnaandika huu upuuzi wakati nchi ipo gizani, mafuta juu, sukari juu, umeme unakatika, ajira hakuna , kilimo ndio hivyo tena!
 
Sasa

Sasa afanyaje BBT imezingua huku na huku MTU ana mtoto na bikra same time...vyote vyazingua tu, afanye ishu zingine tu 😅😅😅
 
Hivi bikra mnazitafutata au kuziongelea za nini - mi naona ni ujinga mtupu.
 
Back
Top Bottom