Nyie ndo mnataka mashindano na kiba wakati yeye hana hata habari.....kila akitoa ngoma lazima wcb watoe hiyo ni ishara ya uogaBora WCB hawashiriki manake kelele zingekua nyingi hasa huko insta nimeona kuna shabiki mmoja wa Kiba huko insta anajiuliza mbona Mondi hayumo kwenye tuzo,walikuwa washajiandaa kwa mitusi Mondi kawakomesha.
Sasa nambie ww ni msimu upi???Mkuu kwani nimesema msimu hapo?
Wewe Sikiliza hiyo ngoma.. Kama unafuatilia misimu yote utajua huo ni msimu gani. Relax mkuu sikiliza music upunguze stress.Sasa nambie ww ni msimu upi???
Nyie ndo mnaotaka mashindano tuzo unajipendekeza mwenyewe ye hakutaka Kiba kaona zinamfaa kajipendekeza mnamtafuta Mondi mbona huwaulizii wasanii wengine kuna wasanii wengi tu hawamo.Na kama je alijipendekeza hakuchaguliwa unajuaje? Nadhani ni vizuri ukawauliza EATV wenyewe watakupa maelezo mazuri kwanini Mondi hayumo.Nyie ndo mnataka mashindano na kiba wakati yeye hana hata habari.....kila akitoa ngoma lazima wcb watoe hiyo ni ishara ya uoga
Mond ana hit akijua akivung kidogo tu anapotea so akisikia kiba kaachia ngoma anapumulia gesi so yuko radhi afanye hata cover za rose muhando ili asiwe kmyaVice versa is true[emoji2]
Umepuyanga sana kaka nani anaongoza kutoka ngoma nyingi kwa mwaka huu binafsi na kwa kushirikishwa nipe jibuMond ana hit akijua akivung kidogo tu anapotea so akisikia kiba kaachia ngoma anapumulia gesi so yuko radhi afanye hata cover za rose muhando ili asiwe kmya
Huu unaitwa mpuyango original kajipange upyaMond ana hit akijua akivung kidogo tu anapotea so akisikia kiba kaachia ngoma anapumulia gesi so yuko radhi afanye hata cover za rose muhando ili asiwe kmya
Nymbo alizotoa mond sizijui ila ilyo hit mwezi mmoja sa hv inapotea ni hyo salome na yakushirikishwa kdogo ni waache waone ndo znamfanya asikilizwe bdoUmepuyanga sana kaka nani anaongoza kutoka ngoma nyingi kwa mwaka huu binafsi na kwa kushirikishwa nipe jibu
Em panga ww tuoneHuu unaitwa mpuyango original kajipange upya
Nitajie za kiba ambazo bado zipo kwenye main stream.....coz katoa kama kolabo kama tatu iv mfululizo lkn hakuna ata moja ninayoiskia kitaaNymbo alizotoa mond sizijui ila ilyo hit mwezi mmoja sa hv inapotea ni hyo salome na yakushirikishwa kdogo ni waache waone ndo znamfanya asikilizwe bdo
Hizi kiki za timu zimetosha, ni muda wa kutumia umaarufu wao kufaidika, sio kila siku shoo anandaa nyumba ya jirani sie tunashinda kwenye mitandao kuwagombanisha. Kifupi tuongelee cloth line iitwe KingK , migawa iitwe Diamonds Cafes,. Tuangalie wenzetu mbele akina 50 cent, PDidy etc, wanapiga pesa.Je hilo swala ni la kweli kuwa diamond ameanza kuonyesha dalili za kumuogopa alikiba coz ukiangalia hata kwenye tamasha la fiesta alikimbili Nigeria pia kwenye tuzo za eatvaward kama kakimbia ivi coz nomination zimetajwa lkn cjaona jina lake ndo maana najiuliza je ameanza kuwa muoga anapoona dalili za king kuwepo????????
Mapovu yanaruhusiwa
Itatusaidia nnHizi kiki za timu zimetosha, ni muda wa kutumia umaarufu wao kufaidika, sio kila siku shoo anandaa nyumba ya jirani sie tunashinda kwenye mitandao kuwagombanisha. Kifupi tuongelee cloth line iitwe KingK , migawa iitwe Diamonds Cafes,. Tuangalie wenzetu mbele akina 50 cent, PDidy etc, wanapiga pesa.
Masanja anachanja hivyo.
kweli kazi tunayo hujaelewa kabisaaaa. mtaani unafanya nini?, maana eleimu ya darasa hapa haitoshi,. Unajua namna ya kutumia umaarufu kupata hela au hela haisaidiiItatusaidia nn
Mm kama mm nitafaidika nn na izo cloth line zaokweli kazi tunayo hujaelewa kabisaaaa. mtaani unafanya nini?, maana eleimu ya darasa hapa haitoshi,. Unajua namna ya kutumia umaarufu kupata hela au hela haisaidii
New hit;Nitajie za kiba ambazo bado zipo kwenye main stream.....coz katoa kama kolabo kama tatu iv mfululizo lkn hakuna ata moja ninayoiskia kitaa
Labd upo kijijini huko mshazoea nymbo za kitamaduni na mckilizaj wa gud music ni ww so utazickia wapiNitajie za kiba ambazo bado zipo kwenye main stream.....coz katoa kama kolabo kama tatu iv mfululizo lkn hakuna ata moja ninayoiskia kitaa
Nisamehe ilisikika kama wiki mbili ikapotea
Ikaja nitulize yenyewe hata wiki haikukaaa ziii
Averina cjui ata imepotelea wapi
Kajiandae nayo inapumulia machine wakati haijamaliza ata wiki
Zote hazisikii kitaa wala kwny media mpk jana analamika ooh tunatoa nyimbo nzur lkn hazipewi airtime......nyimbo nne zote zimefua daahLabd upo kijijini huko mshazoea nymbo za kitamaduni na mckilizaj wa gud music ni ww so utazickia wapi
Iv izo nyimbo bado zipo zinaishi au umezijaza kwny memory kadi yako unapiga getto coz uku kitaani tushazisahauNew hit;
Ommy dimpoz na kiba
Abby skillz na kiba
Ambazo hazichokwi kuckilzwa
Saut soul na kiba
Mr blue na kiba mboga saba
Barakah na kiba
Christian bella na kiba nagaharamia
Kiba aje
Kiba lupela
zngne tafta mwenyew leta za mond zote za mwaka huu tuone