- Thread starter
- #121
Nyie ndo mnataka mashindano na kiba wakati yeye hana hata habari.....kila akitoa ngoma lazima wcb watoe hiyo ni ishara ya uogaBora WCB hawashiriki manake kelele zingekua nyingi hasa huko insta nimeona kuna shabiki mmoja wa Kiba huko insta anajiuliza mbona Mondi hayumo kwenye tuzo,walikuwa washajiandaa kwa mitusi Mondi kawakomesha.