Ni kweli kuwa Diamond anamuogopa King Kiba???

Ni kweli kuwa Diamond anamuogopa King Kiba???

Status
Not open for further replies.
Bora WCB hawashiriki manake kelele zingekua nyingi hasa huko insta nimeona kuna shabiki mmoja wa Kiba huko insta anajiuliza mbona Mondi hayumo kwenye tuzo,walikuwa washajiandaa kwa mitusi Mondi kawakomesha.
Nyie ndo mnataka mashindano na kiba wakati yeye hana hata habari.....kila akitoa ngoma lazima wcb watoe hiyo ni ishara ya uoga
 
ah diamond anatungiwa mashairi ya nyimbo na mtu wa pili... Hatumii akili yake... ataaibika kiasi amuogopee KIBA
 
Nyie ndo mnataka mashindano na kiba wakati yeye hana hata habari.....kila akitoa ngoma lazima wcb watoe hiyo ni ishara ya uoga
Nyie ndo mnaotaka mashindano tuzo unajipendekeza mwenyewe ye hakutaka Kiba kaona zinamfaa kajipendekeza mnamtafuta Mondi mbona huwaulizii wasanii wengine kuna wasanii wengi tu hawamo.Na kama je alijipendekeza hakuchaguliwa unajuaje? Nadhani ni vizuri ukawauliza EATV wenyewe watakupa maelezo mazuri kwanini Mondi hayumo.
 
Mond ana hit akijua akivung kidogo tu anapotea so akisikia kiba kaachia ngoma anapumulia gesi so yuko radhi afanye hata cover za rose muhando ili asiwe kmya
Umepuyanga sana kaka nani anaongoza kutoka ngoma nyingi kwa mwaka huu binafsi na kwa kushirikishwa nipe jibu
 
Mond ana hit akijua akivung kidogo tu anapotea so akisikia kiba kaachia ngoma anapumulia gesi so yuko radhi afanye hata cover za rose muhando ili asiwe kmya
Huu unaitwa mpuyango original kajipange upya
 
Umepuyanga sana kaka nani anaongoza kutoka ngoma nyingi kwa mwaka huu binafsi na kwa kushirikishwa nipe jibu
Nymbo alizotoa mond sizijui ila ilyo hit mwezi mmoja sa hv inapotea ni hyo salome na yakushirikishwa kdogo ni waache waone ndo znamfanya asikilizwe bdo
 
Nymbo alizotoa mond sizijui ila ilyo hit mwezi mmoja sa hv inapotea ni hyo salome na yakushirikishwa kdogo ni waache waone ndo znamfanya asikilizwe bdo
Nitajie za kiba ambazo bado zipo kwenye main stream.....coz katoa kama kolabo kama tatu iv mfululizo lkn hakuna ata moja ninayoiskia kitaa

Nisamehe ilisikika kama wiki mbili ikapotea
Ikaja nitulize yenyewe hata wiki haikukaaa ziii
Averina cjui ata imepotelea wapi
Kajiandae nayo inapumulia machine wakati haijamaliza ata wiki
 
Je hilo swala ni la kweli kuwa diamond ameanza kuonyesha dalili za kumuogopa alikiba coz ukiangalia hata kwenye tamasha la fiesta alikimbili Nigeria pia kwenye tuzo za eatvaward kama kakimbia ivi coz nomination zimetajwa lkn cjaona jina lake ndo maana najiuliza je ameanza kuwa muoga anapoona dalili za king kuwepo????????

Mapovu yanaruhusiwa
Hizi kiki za timu zimetosha, ni muda wa kutumia umaarufu wao kufaidika, sio kila siku shoo anandaa nyumba ya jirani sie tunashinda kwenye mitandao kuwagombanisha. Kifupi tuongelee cloth line iitwe KingK , migawa iitwe Diamonds Cafes,. Tuangalie wenzetu mbele akina 50 cent, PDidy etc, wanapiga pesa.
Masanja anachanja hivyo.
 
Itatusaidia nn
 
Mbona alishatangaza kutoshiriki tuzo zozote za hapa nchini na swala la fiesta diamond ana mkataba na voda wakat fiesta iliandaliwa na tgo mkataba unambana
 
kweli kazi tunayo hujaelewa kabisaaaa. mtaani unafanya nini?, maana eleimu ya darasa hapa haitoshi,. Unajua namna ya kutumia umaarufu kupata hela au hela haisaidii
Mm kama mm nitafaidika nn na izo cloth line zao
 
Nitajie za kiba ambazo bado zipo kwenye main stream.....coz katoa kama kolabo kama tatu iv mfululizo lkn hakuna ata moja ninayoiskia kitaa
New hit;
Ommy dimpoz na kiba
Abby skillz na kiba

Ambazo hazichokwi kuckilzwa
Saut soul na kiba
Mr blue na kiba mboga saba
Barakah na kiba
Christian bella na kiba nagaharamia
Kiba aje
Kiba lupela

zngne tafta mwenyew leta za mond zote za mwaka huu tuone
 
Nitajie za kiba ambazo bado zipo kwenye main stream.....coz katoa kama kolabo kama tatu iv mfululizo lkn hakuna ata moja ninayoiskia kitaa

Nisamehe ilisikika kama wiki mbili ikapotea
Ikaja nitulize yenyewe hata wiki haikukaaa ziii
Averina cjui ata imepotelea wapi
Kajiandae nayo inapumulia machine wakati haijamaliza ata wiki
Labd upo kijijini huko mshazoea nymbo za kitamaduni na mckilizaj wa gud music ni ww so utazickia wapi
 
Labd upo kijijini huko mshazoea nymbo za kitamaduni na mckilizaj wa gud music ni ww so utazickia wapi
Zote hazisikii kitaa wala kwny media mpk jana analamika ooh tunatoa nyimbo nzur lkn hazipewi airtime......nyimbo nne zote zimefua daah
 
New hit;
Ommy dimpoz na kiba
Abby skillz na kiba

Ambazo hazichokwi kuckilzwa
Saut soul na kiba
Mr blue na kiba mboga saba
Barakah na kiba
Christian bella na kiba nagaharamia
Kiba aje
Kiba lupela

zngne tafta mwenyew leta za mond zote za mwaka huu tuone
Iv izo nyimbo bado zipo zinaishi au umezijaza kwny memory kadi yako unapiga getto coz uku kitaani tushazisahau
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom