NI kweli kuwa mwanamke aliyekuwa na mahusiano mengi hawezi kutulia akiolewa?

Sawa nimekuelewa
 
Hii mbona ni hatari
 
Ni kweli kwa 100% maana tayari ana miunganiko katika ulimwengu wa roho na wanaume hao, inakuwa vigumu kwa yeye kucommit.

Ila akiamua kubadilika na kumpa Mungu maisha yake, na kumuomba Mungu avunje vifungo hivo, basi anaweza akadumu kwenye ndoa.
 
Sema kuna ambae aliukuna moyo wako ile sana aseeeee huyo huwezi kumsahauuu na haimaanishi bado Unataka kuwa nae no ni ile aprreciation tu

Cc Smart911
Hii ndo jambo linalonifanya nione kuwa past ya mwanamke ni muhimu.

Maana ni kama mashindano. Na mi sitaki marathon kabisa. Kumkumbuka sio shida ila kuappreciate ndo shida, yaani anakuwa ameweka level ambayo kama mwanaume mwingine akishindwa kuivuka, hatoheshimiwa.
 
Tuwekee hata picha za harusi
 
Iko hivi, weka maji kwenye kibeseni cha kunawia mikono. Halafu waambie Wanaume kumi waanze kunawa mikono yao mmoja baada ya mwingine kwa kunawia humo humo ndani ya beseni.

Yule wa kumi akimaliza kunawa yaangalie hayo maji yakoje?

Jibu ni hili, beseni ndio hizo "nyeti" zako, mikono ya Wanaume kumi ndiyo hiyo "mitarimbo" yao. Na yale maji machafu yaliyobakia ndani ya beseni ndio wewe.

Swali, je, maji machafu yanaweza kujigeuza na kuwa masafi???

HITIMISHO
Mwanamke anayechezewa na Wanaume tofauti tofauti hana tofauti na "UCHAFU".
 
Sema kuna ambae aliukuna moyo wako ile sana aseeeee huyo huwezi kumsahauuu na haimaanishi bado Unataka kuwa nae no ni ile aprreciation tu

Cc Smart911
Hapo ndo kufananishwa na kulinganishwa kunaanza kujidhihirisha!
 
Ushauri wangu: https://jamii.app/JFUserGuide any woman like a bitch,,
On the bed be a devil not an angel.
Kuna mitindo atakukataza but deep down anaitaka desperately. Ila hawezi kukuomba kwasababu wewe ni mume wake wa ndoa anakuogopa, but ikitokea ana mechi huko nje anaweka mazingira yeye mwenyewe kwasababu anaamini yule wa nje sio mume wake so anammudu.
https://jamii.app/JFUserGuide e'm harder, these silent bitches in the names of wives. The World has no Mercy so do it on your own way for your joy and benefit and go away.
 
Ni kweli kwa 100% maana tayari ana miunganiko katika ulimwengu wa roho na wanaume hao, inakuwa vigumu kwa yeye kucommit.

Ila akiamua kubadilika na kumpa Mungu maisha yake, na kumuomba Mungu avunje vifungo hivo, basi anaweza akadumu kwenye ndoa.
Sawa sawa
 
Swali lako halina majibu ya direct anaweza akatulia au asitulie ila inategemea na mazingira na vigezo mbalimbali.
Kwa mfano umeoa mwanamke ambaye ametumika na wanaume wengi halafu ukaishi naye kwenye maeneo hayo hayo ambayo wanaishi hao wanaume wake wa zamani lazima watamtafuta waendeleze naye mahusiano ya kimapenzi.
Lakini chukulia kwa mfano umemuoa mwanamke huyohuyo aliyetumika na wanaume wengi lakini ukahama naye labda alikuwa anaishi Mwanza kisha ukaenda naye kuishi naye Mbeya kisha unamlazimisha abadilishe namba ya simu kuna uwezekano akatulia japo kama ana sifa ya umalaya anaweza pia hukohuko Mbeya akatafuta wanaume wengine wapya.
 
Nafsi ya mtu imebeba sifa ya mtu.

Unaweza kuikana nafsi Yako kuacha au kuongeza sifa na tabia flani ili Hali utaamua wewe.

Nmesahau kifungu cha biblia vizuri ila Kuna mtume mmoja alisema ni Mungu anaye amsha utu wetu wa ndani.

Utu ni jumla ya tabia njema za mtu Kwa mazingira yake.

So nafsi imebeba utu ni wewe kuwa mtu yule yule au kubadirika kuacha maovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…