Wanasemaga always mwanaume anangaliaga past ya matendo ya mwanamke na mwanamke yeye anangaliaga future (kiuchumi) ya mwanaume.
Zunguka duniani kote wanaume wote kwenye kuoa tunaangaliaga purity na ndio maana kwenye jamii zote,kutoka sehemu mbalimbali duniani huthamini bikra ya wanaume na hamna sehemu labda waliandika kwamba wanaume duniani kote walikutana na kuamua hivyo.
Fedha imeharibu sana mapenzi na ndio maana siku hizi wanawake walio wengi wanakitembeza sana,huku bikra zikiwa hadimu na hata hao wa low body counts wameanza kuhadimika.Fedha imefanya ngono imekuwa rahisi sana,zamani wanadai kukubaliwa ilikuwa shughuli, kupewa mchezo inaweza ikapita hata miaka miwili,ndio maana wazee walikuwa wanawathamini. Fedha imerahisisha sana ngono,sasa hivi wana wanatembeza miti kama hawana akili nzuri.
Ila siku hizi mmmhhhh unakuta demu ana vikoba,michezo majina matatu,kodi ya nyumba ,hajala,hajavaa,hajapendeza na issue mjini hana na hata kama anayo hamtoshelezi,lazima atanue miguu.Atawapanga wanaume na kila mmoja atapewa jukumu lake.