NI kweli kuwa mwanamke aliyekuwa na mahusiano mengi hawezi kutulia akiolewa?

Imagine umekutana na Mandingo halafu ukaenda kuolewa na Timu Kiba, hivi unadhani utaweza kutulia na timu Kiba kweli??

Imagine ulishazoea kucheza miguu yote, halafu ukaenda kuolewa na Mchezaji anayepiga mguu mmoja, unadhani hautamisi kukutana na Mchezaji anayepiga miguu yote???

Jibu ni hapana, asilimia 97.89 hawatulii
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kizazi hiki chetu ikifika 2035 ndoa zitakua za kuhesabu SanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni kweli kabisa huwezi kumuoa kahaba ukajipa moyo et atatulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…