Nimekaa hapa nasubiri masingo waje kutoa hoja.Bwana Yesu apewe sifa.
Kuna sehem nimesoma kua kama mwanamke ameshatumika sana na wanaume. Ikitokea ameolewa basi hataweza tulia kwenye ndoa yake kabisa.
Mshkaji anasema sababu ni wanaume ambao huyo mwanamke atakua katana nao watakua wameshamtumia kwa njia zote wanazojua wao, wameshamhonga, kumtumia nauli za kutosha.
Eti kaka zangu ambao mko single nyie mnasemaje kuhusu?ππ
Na wadogo na dada zangu pia mnasemaje kuhusu hili?π
Mwanaume hatumiki.Na mwanaume ambaye ametumikana sana naye tunamsemeajeeeeeee!!!!!!!
Mapenzi ya kuigiza na pesa na starehe ikiwemo kuzalisha au kuzalishwa watoto ,Wao hutaka nini?πππ
Wao hutaka nini?πππ
alooooooo bac sawa ...Yupo good Sana kwa bed,anavumilika hata akitaka kucheat acheat tu Ila ikifika zamu yangu anitimizie
Ila anatumikishaaaaaMwanaume hatumiki.
M & N zimekaribiana sio kosa lako [emoji23]Yani kumbe uliona
Ndo hivyo loveKabisa babes kuna mmoja niliona amekaa kweny ndoa miez miwili anataka kuachika kisa mume hana nyumbaπππππ
Unatulia ili iweje?Sawa lakin hata akiwa na experience kubwa bado hatotulia ndani ya ndoa.
Mimi kinachoniumiza ni vile mabraza walio-oa wanawaambia michepuko yao ""Tuendeleze mahusiano halafu ukipa mwanaume wa kukuoa tuachane""Eti kaka zangu ambao mko single nyie mnasemaje kuhusu hili?ππ
Na wadogo na dada zangu pia mnasemaje kuhusu hili?π