NI kweli kuwa mwanamke aliyekuwa na mahusiano mengi hawezi kutulia akiolewa?

Ubaya ubwela
 
Kijana naona umepata aliyetumika sana nini? Kwa hiyo unataka ushauri.
 
Hivi kweli😁😁😁
 
Sasa unaoa mke kakandwa na wanaume 5+ unategemea atulie na wewe kweli? Amezoea kubadilisha ladha, ngumu sana kuwa mwaminifu kwako tu.

Binafsi SI Unit yangu ni <5, ikishakuwa >=5 naona kazi ni ya wote🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…