NI kweli kuwa mwanamke aliyekuwa na mahusiano mengi hawezi kutulia akiolewa?

Elasticity ni maumbile ya mtu, Dr Restart atakuja kutoa maelezo zaidi kama ni dr wa wanawake
Mtu ana watoto 10 kazaa njia ya kawaida ila mnato anao wa kutosha sembuse mtu aliyeingiliwa na vibamia 10
Ndiomana nimesema kuna koments zinachekesha sana .

Mwingine ni binti tu hajazaa ila kapita na watu lukukiii hao 10 wachache sanaaaa na still ana mnatrooo

Mwingine kapita na mmoja wawili ila bwawaaaaaaa

Kuna mwenye kapita na wachache still mnatro wakushatroo

Mwingine kazaa ana watoto ila mna mnatoo kam kauwaaaa anakitembeza hatariiiiiiii

Mwingine kazaa ana watoto plus mnato kama wote ila saivi katuliaaaa

Mwingine hajazaa kapita na wachache kaamua kutulia zakee

So inategemea mwananke na mwananke na umbile lake kule mazeeee

Yaniiii Hayanaga mwongozo / fomula in Smart911 voice
 
Umesema kitu mana kabisa ccy
 
Kwa hiyo mtumiaji hachakai
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Soma hii comment hapa chini ya mana kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…