Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Habari za muda huu!
Kufuatia uzi wa tycoon wa fasihi ndugu ROBERT HERIEL alioeleza sababu za watu wengine kuishi umri mrefu na wengine umri mfupi, kuna nukta alieleza kwamba tunapaswa kuwaheshimu wazazi hata kama mameshakufa! Na akaeleza kwamba tutawaheshimu kwa kutembelea makazi yao( makaburini) na kusafisha kila mara.
Nimeona nichukue nukta hiyo na kuuanzishia uzi ili sote tujadili kwa upana zaidi ili kama ni kweli kuna umuhimu huo, wote tuujue.
Je, ni kweli kwamba tusipoenda kuyasafisha makaburi ya wazazi na mababu tutapata laana au mikosi kwenye kazi zetu ?!
Karibuni
Sawa mkuuKama heshima ya utamaduni wenu na aliokufunza mama ni kufagia basi utafagia, Kama ni kuweka ya utaweka ya, na the like.
Ni ishu ya utamaduni.
Nitajisikia vibaya. Je kutunza makaburi ya wazazi kutakusaidia kuishi miaka mingi?!Unajisikiaje kaburi la mama ako aliyekuwa pepo ya dunia yako linageuzwa jalala?
S
Sawa mkuu
No commentNitajisikia vibaya. Je kutunza makaburi ya wazazi kutakusaidia kuishi miaka mingi?!
Sawa mkuu. Naendelea kukusanya maoniKusafisha makaburi hakuna uhusiano wowote wa kufanikiwa au kufeli katika maisha.
Na kama unaamini kuna uhusiano huku ukiwa ni mkristo,
Tayari ina maana biblia siyo kitabu cha Mungu na mafundisho yake ni batili.
Sawa mkuu. Naendelea kukusanya maoni
Hapana mkuuKwani wewe una abudu mizimu?
Kusafisha makaburi hakuna uhusiano wowote wa kufanikiwa au kufeli katika maisha.
Na kama unaamini kuna uhusiano huku ukiwa ni mkristo,
Tayari ina maana biblia siyo kitabu cha Mungu na mafundisho yake ni batili.
Kwa maana walio hai wanajua * watakufa, lakini waliokufa hawajui lolote kamwe na hawana tena thawabu maana kumbukumbu yao imesahauliwa.Hapana mkuu
Naomba andiko moja la biblia linalosemaMafunzo ya biblia na Quran utufundisha tuyakumbuke makaburi,kuyakumbuka ni pamoja na kuyafanyia usafi.
Kiimani inatulenga sisi tulio hai inasaidia kuondoa roho ya kiburi,majivuno,kujisahau,na kuona kwamba sisi ni wapitaji wa dunia, kwamba vyoote ni kuukimbiza tu upepo.
Jambo la msingi ni NI KUWEKA MAZINGIRA SAFI WALIPOLALA WAPENDWA WETU.Imani tu..
Ingawa Ni vyema kukumbuka kuweka mazingira Safi walipolala wapendwa wetu
Sa mbona hujajibu hoja?Unajisikiaje kaburi la mama ako aliyekuwa pepo ya dunia yako linageuzwa jalala?